njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,084
- 8,663
- Thread starter
- #21
chuki waliyoanzisha wanajulikana.... tusaidiana kumaliza wote JINO KWA JINOChuki itakuua. Mbona walipitisha fomu za kugombea tff hukujitokeza wewe unayejua kutag?
chuki waliyoanzisha wanajulikana.... tusaidiana kumaliza wote JINO KWA JINOChuki itakuua. Mbona walipitisha fomu za kugombea tff hukujitokeza wewe unayejua kutag?
Hii ligi tutamaliza mwezi wa nane hukoo yaani ndio kwanza timu zimecheza mechi nane tuuHuu mkataba unaosababisha hadi CEO wa Simba kufukuzwa uwanjani na familia yake, huu mkataba unaolazimisha Simba avae nembo begani kwa milion 5 kwa mwezi ilihali anao ATCL na AFricarriers waliotoa buses 4 na hawako hata kwenye jezi ni wa ajabu sana...
Sisi wengine huu ushabiki maandazi wa Simba na Yanga ambao badala ya soka pekee unahusisha mpaka familia hatuutaki. Ukileta lalamiko leta lenye mantiki siyo kuungaunga vitu. TFF wana madhaifu yao lakini mengine mnayaweka kishabiki mno. Mfano;chuki waliyoanzisha wanajulikana.... tusaidiana kumaliza wote JINO KWA JINO
Sasa wewe njaa kwani hiyo nembo anavaa simba peke yake?? Yani akili za mashabiki na viongozi wenu zinafanana kwa kila kitu. Mbona timu nyingine hazilalami kama nyie?? Yani nyie ndo muwe tofauti na timu zote 15??kitita ndico milioni 60 kwa mwaka? yaani vunja bei anayetoa ,milioni 1000 kwa mwaka tuitaje ? LIKITITA SIYO? kwa taarifa yake afri carriers katoa mabasi 4 kwa simba anakaa kwenye jezi za simba queens na team za vijana halafu yanatokea matapeli yanataka simba wavae nembo yake begani kwa milions 5 kwa mwez, wajinga nyie kwelikweli..hiyo billlions 2 inayowatoa roho kina karia fred vunja bei kaiweka pale simba
GSM haja udhamini Simba amedhamini league hio pesa inaenda kwa team zote hio hela vunja bei kagera sugar na Mbeya kwanza wanaipata? tumia akili japo kidogokitita ndico milioni 60 kwa mwaka? yaani vunja bei anayetoa ,milioni 1000 kwa mwaka tuitaje ? LIKITITA SIYO? kwa taarifa yake afri carriers katoa mabasi 4 kwa simba anakaa kwenye jezi za simba queens na team za vijana halafu yanatokea matapeli yanataka simba wavae nembo yake begani kwa milions 5 kwa mwez, wajinga nyie kwelikweli..hiyo billlions 2 inayowatoa roho kina karia fred vunja bei kaiweka pale simba
Kwahiyo hii ina mahusiano gani na matokeo ya janakwa akili yako unaona HAPO KARIA NA WEHU WENZAKE WA TFF WAME TAG ACCOUNT SAHIHI YA NBC? HUONI HAONA U BLUE? YAANI MAIN SPONSOR TFF HAWAJUI HATA TWITTER HANDLE YAKE? HALAFU HOME SHOPPING CENTRE WANAKUWA TAGGED KABLA YA MDHAMINI MKUU...
wapuuzi kweli nyie yaani simba avae takataka ya home shopping centre kit supplier wa utopolo kwa milions 60 kwa mwaka na jezi hiyo hiyo ina logo ya kit supllier wake vunja bei anayempa milions 1,000 kwa mwaka? kavalisheni kina geita gold siyo simba haivaliwi hiyo nembo mtake msitakeGSM haja udhamini Simba amedhamini league hio pesa inaenda kwa team zote hio hela vunja bei kagera sugar na Mbeya kwanza wanaipata? tumia akili japo kidogo
akili za kwao zimenyonywa na wahindi janja janjaakili za Karia zimenyonywa na jitumbo
Sasa wewe unaumia nn? Mkataba si wa Tff na kampuni ya GSM na una masharti tofauti na hiyo mikataba ya hao wengine unaowasema.Tumia akili kufikiri makolo fckitita ndico milioni 60 kwa mwaka? yaani vunja bei anayetoa ,milioni 1000 kwa mwaka tuitaje ? LIKITITA SIYO? kwa taarifa yake afri carriers katoa mabasi 4 kwa simba anakaa kwenye jezi za simba queens na team za vijana halafu yanatokea matapeli yanataka simba wavae nembo yake begani kwa milions 5 kwa mwez, wajinga nyie kwelikweli..hiyo billlions 2 inayowatoa roho kina karia fred vunja bei kaiweka pale simba
Na hakuna duniani timi iliyopambana na Chama Cha soka Cha nchi yake ikashinda vita hiyo mfano Timu ya Barcelona ilijaribu kutikisa laliga ikaomba poo hivyo Simba anatokisa TFF atajuta na ataomba poo mwenyewe.muda utasemaSasa wewe njaa kwani hiyo nembo anavaa simba peke yake?? Yani akili za mashabiki na viongozi wenu zinafanana kwa kila kitu. Mbona timu nyingine hazilalami kama nyie?? Yani nyie ndo muwe tofauti na timu zote 15??
Wacha tuone hili litaishaje ila tu simba imeanzisha varangati lisilo na kichwa wala miguu.
wapuuzi kweli nyie yaani simba avae takataka ya home shopping centre kit supplier wa utoplo kwa milions 60 kwa mwaka naGSM haja udhamini Simba amedhamini league hio pesa inaenda kwa team zote hio hela vunja bei kagera sugar na Mbeya kwanza wanaipata? tumia akili japo kidogo
team mnaiita makolokolo fc sababu ia matangazo mengi bado mnalilia waweke matakataka ya home shopping centre kwa milion 5 per month ..KANUNUENI LOTIONS ZA SUNGLASSES KWA AJILI YA MLEMAVU WA NGOZI KWA HIVYO VI PESA WEKENI BILIONS 10 KWA MWAKA MUWEKEWE UCHAFU WENU KWENU JEZI ZA MABINGWA NCHISasa wewe unaumia nn? Mkataba si wa Tff na kampuni ya GSM na una masharti tofauti na hiyo mikataba ya hao wengine unaowasema.Tumia akili kufikiri makolo fc
home shopping centre upuuzi wenu utakaa kwa wapuuzi wengine siyo kwenye bega la kushoto la simba, never wakitaka waifutie simba usajili tena hata kesho wakitakaNa hakuna duniani timi iliyopambana na Chama Cha soka Cha nchi yake ikashinda vita hiyo mfano Timu ya Barcelona ilijaribu kutikisa laliga ikaomba poo hivyo Simba anatokisa TFF atajuta na ataomba poo mwenyewe.muda utasema
Jina lako lina sadifuwapuuzi kweli nyie yaani simba avae takataka ya home shopping centre kit supplier wa utoplo kwa milions 60 kwa mwaka na
team mnaiita makolokolo fc sababu ia matangazo mengi bado mnalilia waweke matakataka ya home shopping centre kwa milion 5 per month ..KANUNUENI LOTIONS ZA SUNGLASSES KWA AJILI YA MLEMAVU WA NGOZI KWA HIVYO VI PESA WEKENI BILIONS 10 KWA MWAKA MUWEKEWE UCHAFU WENU KWENU JEZI ZA MABINGWA NCHI
Duh,mkuu ume-coment kwa hasira sana,relax ni mpira tu na haya matimu yapo tu na maisha mengine yapo tu.wapuuzi kweli nyie yaani simba avae takataka ya home shopping centre kit supplier wa utoplo kwa milions 60 kwa mwaka na
team mnaiita makolokolo fc sababu ia matangazo mengi bado mnalilia waweke matakataka ya home shopping centre kwa milion 5 per month ..KANUNUENI LOTIONS ZA SUNGLASSES KWA AJILI YA MLEMAVU WA NGOZI KWA HIVYO VI PESA WEKENI BILIONS 10 KWA MWAKA MUWEKEWE UCHAFU WENU KWENU JEZI ZA MABINGWA NCHI
Jamani si Karia na Kidau ni Simba wenzetu? Imekuwaje tena mbona tunamgeuka mwenzetu
Na mbaya zaidi vitu wanavyolalamikia havina mantiki kabisa, viko wazi kabisa kua wao ndo wanakosea ila wanatafuta huruma kwa kua wana maahabiki wengi na viongozi wa kiserikali wako timu yao, so wanajihami kihivo.Na hakuna duniani timi iliyopambana na Chama Cha soka Cha nchi yake ikashinda vita hiyo mfano Timu ya Barcelona ilijaribu kutikisa laliga ikaomba poo hivyo Simba anatokisa TFF atajuta na ataomba poo mwenyewe.muda utasema