TFF wawaomba Barcelona kutembelea Tanzania

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
ImageUploadedByJamiiForums1410086365.712023.jpg niliona hii habari kutoka katika gazeti la citzen nilishangaa sana na nikawa najiuliza hivi kama tff imetuma maombi katika clab ya barselona kuitaka waje tanzania hizo pesa za matuzo wakiwa hapa nchini najua itaghalimia tff sasa kwanini hayo mapesa yote yasipelekwe kutafuta vipaji nchini ili tupate angalau cheti kwa siku za mbele kuliko tuje tuwape akina messi na neymar na kweli tff mnaweza hii habari mbona nzito na uwezo wenu naona mdogo sanasana nadhani hamuijui vema barselona tazama bajetiyake kwa mwaka inakaribia bajeti za nchi masikini sana duniani
 
View attachment 183544

Nimestushwa katika gazeti la citizen kuona habari hii ya TFF kupeleka ombi Barcelona, ila mimi ningewaomba kuliko kuwaleta hawa watu ni bora pesa hizo tungewekeza katika academy zetu na kutengeneza viwanja vyetu maana vipo katika hali mbaya hasa vya mikoani .
 
mmenichunia leooo
 
Wasije wakatuletea magumashi kama wale wa juzi waliotuambia ni REAL MADRID kumbe ni used
 
Labda walete Barcelona wazee au watoto (Barcelona Academy) kuja kutalii.., Barcelona wenyewe hawana muda wa kupoteza pre season hata wakienda sehemu ambako wanaweza kupata faida ya kipesa lakini pia wanapenda kwenda sehemu ambayo watajiandaa vema na league
 
duuu ilo nalo neno hata mi nilifikiria sana messi, neymar,mzee wa meno , tiiii tanzania yaani siku iyo nadhani dunia itaipa heshima kuu tanzania lakini kuja huku sidhani na sio kudhani nasema hawawezi hata kwa dawa
 
Wacha nikuunge mkono usivunjike kuanzisha thread siku nyengine. Woow habari njema.
kweli wangu naona kama ki ban changu kimeisha mkuu sasa hivi tuko pamoja hii ndio jf mkuu
 
Unajua Jamal Malinzi asipo angalia miaka mitau itapia na hakuna alichokifanya maana hiyo taifa star ndio kibonde kwelikweli soon atasema anahujumiwa, Ule mradi wa kula Posho wa kusaka Vipaji vya wazee badala ya Vijana amabo ndio utaratibu duniani kote huku kwetu tunasaka vipaji vya wazee ndio ushakufa sasa,

kakini laiti angejua kuwa tokea aingie badala ya kusaka vipaji vya wale wazee, yeye angesaka vya Under 14 amabo wengi ni darasa la saba na kuwachkua na kuwalea na kuwasomesha sekondari by the time anamaliza muda wake anagekuwa na timu nzuri sana ya under 17 na 18 na pengine tunge mkumbuka kwa hilo, lakini yupo busy na kutafuna hela tu kwa miradi hewa.
 
sasa tunaanza kuona labda nyamlani alikuwa mzuri zaidi,kweli miaka mitatuya huyu bwana itapita bure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom