Street College
Senior Member
- Jun 1, 2012
- 151
- 430
Jicho la tatu lipi? Au mashabiki wa Simba mmeanza kutazama mpira kwa mikundu?Ukitazama kwa jicho la tatu utaona kwamba wapo biased sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]kuweweseka is realJicho la tatu lipi? Au mashabiki wa Simba mmeanza kutazama mpira kwa mikundu?
Jicho gani?jicho la tatu
Nyie si mpaka mechi ilighairishwa ili mpate muda wa kujiandaaKwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia mienendo ya hawa waliopewa dhamana ya kusimamia mpira wa bongo. Ukitazama kwa jicho la tatu utaona kwamba wapo biased sana.
Kwenye ratiba za CAF za mwaka huu, wamewatanguliza Simba kucheza alafu Yanga wanafatia. Hii inawafanya wacheze wakiwa wanayajua matokeo ya Simba, hivyo inawapa molari. Najua kuna mtu atasema TFF wanahusika vipi na ratiba za CAF, ila ukweli ni kwamba kitendo Cha Simba na Yanga zote kutumia uwanja mmoja kiliwafanya CAF wazitofautishe mechi zao ili kuupa nafuu uwanja. Na hapo ndipo TFF walipotoa wazo la Simba kuanza kisha Yanga afatie.
Alafu kingine nashauri Simba tuachane na huu uwanja wa taifa. Hatuwezi kutumia uwanja mmoja na Yanga alafu tukapata matokeo mazuri. Maana vitu walivyofukia ndio vinatukosesha matokeo. Mechi za robo fainali tuhamishie hata Zanzibar
Sikujua Kama Tanzania bado kuna wapumbavu wa aina hiiKwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia mienendo ya hawa waliopewa dhamana ya kusimamia mpira wa bongo. Ukitazama kwa jicho la tatu utaona kwamba wapo biased sana.
Kwenye ratiba za CAF za mwaka huu, wamewatanguliza Simba kucheza alafu Yanga wanafatia. Hii inawafanya wacheze wakiwa wanayajua matokeo ya Simba, hivyo inawapa molari. Najua kuna mtu atasema TFF wanahusika vipi na ratiba za CAF, ila ukweli ni kwamba kitendo Cha Simba na Yanga zote kutumia uwanja mmoja kiliwafanya CAF wazitofautishe mechi zao ili kuupa nafuu uwanja. Na hapo ndipo TFF walipotoa wazo la Simba kuanza kisha Yanga afatie.
Alafu kingine nashauri Simba tuachane na huu uwanja wa taifa. Hatuwezi kutumia uwanja mmoja na Yanga alafu tukapata matokeo mazuri. Maana vitu walivyofukia ndio vinatukosesha matokeo. Mechi za robo fainali tuhamishie hata Zanzibar
Wewe ni mpumbavu au ndio kuchanganyikiwa na goli nne?Kwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia mienendo ya hawa waliopewa dhamana ya kusimamia mpira wa bongo. Ukitazama kwa jicho la tatu utaona kwamba wapo biased sana.
Kwenye ratiba za CAF za mwaka huu, wamewatanguliza Simba kucheza alafu Yanga wanafatia. Hii inawafanya wacheze wakiwa wanayajua matokeo ya Simba, hivyo inawapa molari. Najua kuna mtu atasema TFF wanahusika vipi na ratiba za CAF, ila ukweli ni kwamba kitendo Cha Simba na Yanga zote kutumia uwanja mmoja kiliwafanya CAF wazitofautishe mechi zao ili kuupa nafuu uwanja. Na hapo ndipo TFF walipotoa wazo la Simba kuanza kisha Yanga afatie.
Alafu kingine nashauri Simba tuachane na huu uwanja wa taifa. Hatuwezi kutumia uwanja mmoja na Yanga alafu tukapata matokeo mazuri. Maana vitu walivyofukia ndio vinatukosesha matokeo. Mechi za robo fainali tuhamishie hata Zanzibar
Punguza sauti Watoto bado hawajalala Chifu.Jicho la tatu lipi? Au mashabiki wa Simba mmeanza kutazama mpira kwa mikundu?
Comrade utakuwa umevurugwa. Siyo bure. ๐Kwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia mienendo ya hawa waliopewa dhamana ya kusimamia mpira wa bongo. Ukitazama kwa jicho la tatu utaona kwamba wapo biased sana.
Kwenye ratiba za CAF za mwaka huu, wamewatanguliza Simba kucheza alafu Yanga wanafatia. Hii inawafanya wacheze wakiwa wanayajua matokeo ya Simba, hivyo inawapa molari. Najua kuna mtu atasema TFF wanahusika vipi na ratiba za CAF, ila ukweli ni kwamba kitendo Cha Simba na Yanga zote kutumia uwanja mmoja kiliwafanya CAF wazitofautishe mechi zao ili kuupa nafuu uwanja. Na hapo ndipo TFF walipotoa wazo la Simba kuanza kisha Yanga afatie.
Alafu kingine nashauri Simba tuachane na huu uwanja wa taifa. Hatuwezi kutumia uwanja mmoja na Yanga alafu tukapata matokeo mazuri. Maana vitu walivyofukia ndio vinatukosesha matokeo. Mechi za robo fainali tuhamishie hata Zanzibar
Hahaaaaa maana majamaa sio Mbumbumbu tu, Angeyaita Mazuzu na Wehu. Angeyapiga na vibao kabisa. Kwa hizi thread wanazoanzisha leo, hawa sio Mbumbumbu ila matahira kabisa.Ila RAGE Unastahili Kupewa Doctorate ya heshima๐๐๐
Hahaaaaa kuna mambo yanachekesha sana humu duniani. Yaani hata ukimwambia yeye asome alichoandika atakuwa anajishangaa. Possibly anawakejeli na kuwakebehi simba.Comrade utakuwa umevurugwa. Siyo bure. ๐
Hizi zote ni juhudi za Mama. Urais ni kazi ngumu Kwa style hii.Sikujua Kama Tanzania bado kuna wapumbavu wa aina hii
Hapo sasa.Nyie si mpaka mechi ilighairishwa ili mpate muda wa kujiandaa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Jicho la tatu lipi? Au mashabiki wa Simba mmeanza kutazama mpira kwa mikundu?