Mkuu hawa watu pumbavu sana tena sana tu. Jambo jepesi mechi ingeanza saa kumi tu ingekuwa poa. mbona mechi nyingi zimechezwa saa kumi na huku baadhi ya wachezaji wakiwa wamefunga.Kuna watu wanadai ni sababu ya wachezaji waliofunga wafuturu kabisa... Wanasahau kuwa hata hivyi hao wachezako hawawezi kula chakula cha maana zaidi ya juice na maji ili wasije zingua kwenye game kitu ambacho wangeweza simamisha game kwa dak 5 wachezaji wakanywa hivyi vitu mbalanga likaendelea
Ili iweje?serikali ndo imesogeza muda acheni kuwalaumu tifua tifua
Kwa nini isogeze?...Je slogan ya serikali isiingilie vyama vya michezo katika nchi wanachama wa FIFA ni urongo?serikali ndo imesogeza muda acheni kuwalaumu tifua tifua
Sio kusogezwa mbele tu, serikali ina uwezo wa kuifuta kabisa mechi kwa siku fulani, na kuipeleka siku nyingine. Kumbuka sio TFF waliofanya hivyo, bali ni serikali kupitia BMTInawezekana kabisa Tanzania tunaviongozi wajinga ila kwa hili la kusogezwa muda mechi ya SIMBA vs YANGA itoshe kusema tunao viongozi Wajinga + Wapumbavu.
Barua inayosambaa mitandaoni ya kusogeza muda mbele hawa jamaa weshindwa hata kuomba radhi!
TFF imepokea maelekezo ya mabadiliko ya muda wa kuanza mchezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.Ujanjaujanja Umezidi
Mwinyi anazindua kitabuIli iweje?
Sababu Ni uzinduzi was kitabu Cha mwinyi live muda huu tbc1Kuna watu wanadai ni sababu ya wachezaji waliofunga wafuturu kabisa... Wanasahau kuwa hata hivyi hao wachezako hawawezi kula chakula cha maana zaidi ya juice na maji ili wasije zingua kwenye game kitu ambacho wangeweza simamisha game kwa dak 5 wachezaji wakanywa hivyi vitu mbalanga likaendelea
Serikali haipaswi kuingilia haya mambo, kuna sababu gani ya muhimu?Sio kusogezwa mbele tu, serikali ina uwezo wa kuifuta kabisa mechi kwa siku fulani, na kuipeleka siku nyingine. Kumbuka sio TFF waliofanya hivyo, bali ni serikali kupitia BMT
Kwani timu zinaenda kuchezea TBC?Sababu Ni uzinduzi was kitabu Cha mwinyi live muda huu tbc1
Serikali haihusiki na mpira. Wenye mamlaka ya kusimamia mpira ni TFF, wao ndio waliotunga sheria za soka, na wao ndio wasimamizi. Chochote kinachotokea kuhusiana na mpira, wanaulizwa wao, na sio serikali.serikali ndo imesogeza muda acheni kuwalaumu tifua tifua
Nani mwenye mpira.? FIFA kila leo wanapiga marufuku serikali kuingilia michezo.serikali ndo imesogeza muda acheni kuwalaumu tifua tifua