Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,287
- 72,516
Hiyo account haina editor??Sawa kabisa lakini kosa la numeric (1,2,3,4) ni tofauti na kosa la character (a,b,c,d) kwa maana ya consequences.Unaona hapo TFF tumegundua kosa lakini 900,000 huwezi kugundua haraka
Hiyo ndiyo hoja ya msingi siyo kwamba TFF hawafahamu kizungu cha neno Rafiki.Ila nje ya Mada kidogo,Jana nilikuwa uwanja wa Uhuru kuangalia Stars vs Malawi.Stars hovyo sana Malawi walikuwa wanatulamba chenga Hatari.Timu haina discipline nkHiyo account haina editor??
Inaitwa Typing error......HIYO SIO BROKEN WEWE.HIYO NI KUCHANGANYA HERUFI TU.
KWENYE KIBODI R NA E ZIKO KARIBU MNO.NI KOSA LA KAWAIDA KABISA
anhaaa sawa mkuuHiyo ndiyo hoja ya msingi siyo kwamba TFF hawafahamu kizungu cha neno Rafiki.Ila nje ya Mara kidogo,Jana nilikuwa uwanja wa Uhuru kuangalia Stars vs Malawi.Stars hovyo sana Malawi walikuwa wanatulamba chenga Hatari.Timu haina discipline nk
...punguza ujuaji wa kipimbi dogo!SIKU ATAKOYANDIKA PALE BENKI KUWA MAPATO YA MECHI NI SHS 900,000 BADALA YA 9,000,000 NA KUMPA TELLER 9.000.000 NDIO ATAJUA KOSA DOGO LINAWEZA LIKAMLETEA SHIDA KUBWA
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tanzania ya sasa elimu si kipaumbele tena, ili mradi unachapa kazi tu kama Bashite hio ni cv tosha
Ndio hii nchi kuendelea ni shida.mpo wengi sana wenye matongotongo.Mzungu gani atakuajiri mtu kama wewe.Wakati mwingine nasema Magufuli aendelee kubana mpaka tunyooke kwanza!...punguza ujuaji wa kipimbi dogo!
..wewe mwenyewe umekosea kuandika,
.na mbaya zaidi hujui lolote hata taratibu za kibenki!
....duh!ND
Ndio hii nchi kuendelea ni shida.mpo wengi sana wenye matongotongo.Mzungu gani atakuajiri mtu kama wewe.Wakati mwingine nasema Magufuli aendelee kubana mpaka tunyooke kwanza!
kutokusoma shida sana! ungesoma ungepata kazi nzuri tu sasa angalia unavyotumia nguvu kutetea tonge! miaka hamsini utafika ila kwashida sana.....duh!
...wewe wa kuhurumiwa tu.
.sasa nimechagua kukupuuza,
....kafie mbele!
Vitu km hivyo vinahitaji umakini mkubwa. Ukumbuke maelfu ya watu watasoma. Kingine hiyo ni taasisi na siyo shirika la mtu mmoja.Hivi hata hao waingereza huwa hawakosei uandishi?
Maana wabongo ukiandika kiingereza basi usikosee uandishi utaambiwa hujui kiingereza.
KUSHURIKI [emoji119] [emoji119] [emoji23] [emoji23]Iyo Sio Broken..Ni Typing Error ..
Mbn Mnaachaga vitu vya Msingi mnakomalia Vitu ambavyo havijengi?
Unafikiri Kujua Kingereza kutatusaidia sisi Kushuriki WORLD CUP?
SHAME on you
Mkuu kwema??
Nimejaribu kuangalia hiyo mistake, nachoona kwenye kuweka E wao wameweka R,
Hii sio broken bali nadhani ni ukaribu wa hizi herufi mbili (E&R) kwenye Keyboard,
Pengine alitaka kuandika E akajikuta anabonyeza R bahati mbaya,
Nimewaza tu lakini, sina uhakika
Ni kwel mkuu proof reading inahitajika sanaWalikuwa na haraka gani wasihariri?
Basi na Mimi sjui Kiswahili [emoji2] [emoji2] [emoji2]KUSHURIKI [emoji119] [emoji119] [emoji23] [emoji23]