Shakala
Member
- Sep 30, 2024
- 13
- 11
Wasalaam,
Soka la Tanzania limekua kwa kasi sana hivi karibuni kiasi cha kuvutia watu kadhaa kuanza kuwekeza kwenye mpira wetu,Azam tv, Vodacom,nbc,sportpesa,GSM,MO na wengineo.watanzania wengi wamekua wakijipatia kipato kupitia soka;wachezaji,wauza jezi,watu wa usafirishaji,wenye nyumba za kulala wageni,wenye viwanja,wauza ving'amuzi,wenye vibanda umiza, serikali pia imenufaika.
Pamoja athari chanya kama hizo lakini dhahifi inaonekana TFF wenyewe wanataka kuudidimiza huu mpira kutokana na aidha kua na upeo mdogo wa kufikiria ama wana kusudi jingine tusolijua.
Kwanza ni ishu ya waamuzi:wamekua wakiboronga makusudically na hakuna hatua stahiki zinazoendana na makosa yao zikichukuliwa.
Pili;miaka ya hivi karibuni mechi zenye mvuto wa aina yake/derby kuahirishwa kienyeji tu tena siku ya tukio bila kujali ni kiasi gani mashabiki wametoa sadaka muda na fedha zao kuja kuinjoi ladha ya soka la Tanzania.wengine wanatoka nje ya nchi huko lakini ndo hivyo wanarudi mioyo ikiwa na kinyongo.Rejea derby ya 2021 na hii ya juzi 2025.
Kwa staili hii kweli wanawajengea picha gani wadau?
Wamawatia hasara kiasi gani wadhamini?
Itakuaje siku mashabiki wakisusa kuhudhuria viwanjani?
Azam TV ataathirikaje pindi watapoacha kulipia ving'amuzi vyao?
TFF BADILIKENI ACHENI KUTUHARIBIA KIUNGANISHI PEKEE KAMA TAIFA MAANA SIASA ILISHATUPARAGANISHA🙌🏿