TFF na matumizi mabaya ya fedha. Ni wakati sasa kumulikwa

wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
3,984
4,131
Kitendo cha kufanyia kikao cha kawaida cha kamati ya utendaji ya TFF huko zenji tena kwenye hotel Verde ni ufisadi tu.

Hii tabia ya hawa viongozi wa TFF inabidi sasa ikemewe.

Nchi ambayo bado inachangamoto nyingi za maendeleo ya mpira.

Wao imekuwa ni tabia kutumia fedha isivyo faa bila tena bila kuzionea huruma..wanazitumbua tu.

Tunakemea vikali sana... kuna viongoz wenzenu walishapelekwa mahakamani.

Bado zamu yenu.
 
Wadau wacharuka
1642971757559.jpeg
 
Usilete Utundu Lissu hapa , huyo Rais wa TFF ni zaidi ya Rais wa nchi , waulize Malinzi na Wambura
 
Mama kashasema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake..hakuna fala atakayejifanya ana uchungu sana na soka letu na wakati nyie wenyewe hamjielewi..kesho hawapo mtawacheka..ngoja wajichotee za FiFa..
 
Hawa sasa wamekata kamba. Unadhani itakuwaje.
Mama kashasema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake..hakuna fala atakayejifanya ana uchungu sana na soka letu na wakati nyie wenyewe hamjielewi..kesho hawapo mtawacheka..ngoja wajichotee za FiFa..
 
Tunatunza kumbu kumbu.
Hizi pesa watazitolea kwenye kila tundu la miili yao.
Wasijidanganye kuwa kesho itakuwa kama leo.
Hamjifunzi tu kwa waliopita?
Mama kashasema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake..hakuna fala atakayejifanya ana uchungu sana na soka letu na wakati nyie wenyewe hamjielewi..kesho hawapo mtawacheka..ngoja wajichotee za FiFa..
 
Makolo mlibwaji bhabha? We makolo acha kuwashambulia TFF wao hawahusiki na kupigwa kwako na mbeya city wala ile droo yako na mtibwa sugar.
 
Back
Top Bottom