ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,702
- 3,556
Hivi sasa hivi tuko nafasi ya ngapi jama? Hatujaporomoka kweli?
Maana siku hizi hata sishtuki nikisia kuna mechi ya Stars.
Jamani upo?
Hivi sasa hivi tuko nafasi ya ngapi jama? Hatujaporomoka kweli?
Maana siku hizi hata sishtuki nikisia kuna mechi ya Stars.
Kuna watu wanalijua soka balaa hapa tz; hv kwanini TFF hamuwachukui vijana wale kama washauri naamini mkiwatumia mtafaidika mfano hawa shafii dauda, edga kibwana, issa maeda. Hawa jamaa wanaujua mpira nyinyi TFF kama hamuwaoni shaurizenu.