TFF kwahili hampo sawa mnaliaibisha Taifa

Jafari Haruna

JF-Expert Member
Jun 18, 2017
347
962
Yapo mengi mnafanya vizuri lakini hili ni moja ya Makosa mmefanya
Mmepeleka Fainal ya FA Sumbawanga
Sio Jambo baya lakini Mlitafakari kwa kina au mlikurupuka?
Kweli Uwanja kama huu niwakuchezea Fainali kweli ya FA!?
Muache Dharau Heshimuni Fainali
Hii nihali ya Uwanja Leo Tar 01/08/2020
17:20
Masaa machache kabla ya mchezo
Screenshot_20200801-170522.jpg
Screenshot_20200801-170317.jpg
 
Walioboa ni hao wenye uwanja maana walitaarifiwa mapema sasa walikwama wapi kujiandaa?
 
Kwakweli hali ya Uwanja itapoteza radha na Mvuto wa soka safi hasa kwa timu zote zilizoingia fainali zinaweza sana kucheza mpira wa pasi za chini, kwa pitch hiyo hapana kwakweli.
 
Wamiliki wa uwanja walikuwa busy kuandaa majukwaa na vyumba vya uwanja, badala ya kuelekeza nguvu kwenye pitch. Nilishangaa walipokuwa wakisema maandalizi yanakaribia 90% huku wakionyesha upakaji wa rangi wa majukwaa na vyumba vya kubadilishia nguo. Heri wangeacha yote hayo wakaanza na pitch
 
Ni jambo lililonisikitisha sana kama kwel fainali inachezwa kwenye uwanja wa namna hiyo acha tu luc atutukane tu. Hv kwel mkoa wa Rukwa ndio mko slow kiasi hicho. Taarifa za kuhost huo mchezo mlkua nao muda mrefu sana lakini nashindwa kujua mlishindwaje kuandaa uwanja kwa muda wote huo. TFF badilikeni jamn, sawa huenda mnahamasisha michezo mikoani lakini kunawakati wa kuangalia hata kiwanja mnachopendekeza upoje. Utazani hatuna viwanja vizuri.
 
Back
Top Bottom