Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,270
- 670
Je TFF haijali watu waliokufa zanzibar?
TFF haina utaifa?
Masikitiko yangu kwa TFF kama muendeshaji wa ligi ya "VODACOM LIGI" hakujali siku ya msiba wa kitaifa
baada ya kuziruhusu timu zinazozaminiwa na vodacom kuendelea na ligi.
Hizi taasisi zilikosa utaifa kwa kukosa kujumuika na watanzania wengine
kwanini Hizi kampuni zinakuja wakati wa maafa?
Yanga na Ruvu walicheza jumamosi (wanaburudika wananchi wakiwa wamekufa majini)
Simba na Azam walicheza jana( huku maiti zikizidi kuongezeka)
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wabariki Watanzania