TFF inashindwa nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TFF inashindwa nini?

Discussion in 'Sports' started by Alexism, Nov 1, 2011.

 1. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Katika kukuza na kuendeleza nyanja ya mpira wa miguu nchini nipamoja na kuonesha mchezo huo katika vyombo vya habari asa runinga za kimataifa na zakitaifa.
  Inakuwaje hapa Tanzania TFF inashindwa ata kurusha mechi kupitia runinga za ndani au za nje.Ukienda Uganda au Kenya mechi nyingi za rigi kuu zinarushwa na ata kupitia Dstv.Je TFF hamuoni kuwa na sisi Tz ni muda sahihi kufanya hivyo?Kama hamuwezi,je mmejaribu na mkashindwa?
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mkuu ndiyo sababu vilabu vinalilia uanzishwaji wa kampuni kwa ajili ya kusimamia ligi.
   
 3. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Iundwe tume tu! Tutajua kila kitu!
   
 4. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  wizara zinafanya kazi bila uhuru. Tofauti na tume. Tatizo tunaangalia tunapoangukiaga. Tume itatuonyesha tunapojikwaa.Kama tatizo ni njia tunayopita,mwondoko wetu,n.k.
   
 5. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,281
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama hawa jamaa wa vilabu wamejiandaa kuunda hiyo kampuni,nina wasiwasi huenda hiyo kampuni nayo ikazidi kuleta matatizo
   
 6. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Kampuni sawa lakini Uganda(FUFA) na Zambia bado wanaendesha mambo mpira kwa kutumia shirikisho na zinaendeleza mpira huko tofauti na Tanzania yenu.
   
 7. M

  Maswi JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 897
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wanataka mapato ya SIMBA na YEBO
   
Loading...