Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,711
- 1,738
Tumesikia TFF eti wanaandaa sherehe ya kutimiza miaka 50 tena kwa kujiunga na FIFA sio ya kuanzishwa kwake! Hii ni fedheha tu kwa wapenda soka hapa nchini, hivi inatusaidia nini sherehe hii? Mie sioni tija yoyote hapa kama sio kufuja pesa tu. Acheni utoto bwana pangeni mipango itakayowezesha vilabu na timu yetu ya taifa kucheza mashindano makubwa hasa kombe la dunia.