TFF haina mahusiano mazuri na club nyingi za Tanzania, yanga wameamua kuwakomesha

Ladder 49

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
7,416
18,856
Ukweli ni kwamba hakuna club yoyote inayoipenda TFF namna inavyoongoza mpira wetu hapa nchini Tanzania.TFF wamekuwa wakitoa adhabu kali kwa viongozi wa clubs mbalimbali mara nyingi wanafanya maamuzi kwa hasira bila kuangalia hali halisi ya soka letu.matatizo yanayotokea uwanjani labda kila timu kwenye ligi wakifanyiwa ila ikiwa timu moja au mbili inakuwa kama hakija tokea kitu vile.

Kwa namna hivyo vilabu haviwezi kufurahia ndio maana hukiingia kwenye angazao tu wanakukomesha.

Watu waliokwenye vilabu vyetu viongozi wengi hawana uwezo kama wa wazungu sasa na TFF wao wanataka kuwakomesha ukikosea tu kidogo adhabu inakuwa kubwa mpaka unashangaa kosa gani mtu kuukumiwa hivyo kwa soka letu hapa maana hapa kwenye soka letu lina mapungufu kibao.

marefa wanakataa magoli waziwazi ukisema wanakufungia maisha sasa safari hii TFF mmevunja sheria na nyinyi mfungiwe maisha kwenye soka?

Soka aliendeshwi kwa visasi na kukasilika kasilika hovyo vitu vingine muwe mnaacha tu kama havisaidii chochote kwenye soka .

Yanga walichofanya ni kuwakomesha na kuwaonesha jinsi gani hawezi kuendesha soka la Tanzania na kufuata sheria.

Next time na timu zingine zitaiga kama walivyofanya yanga ndio mtaendelea kupata aibu .maana watakuwa wanasimamia sheria tu,

Na me nashauri tu ziige, TFF hainaga lugha Nzuri kabisa matatizo yakitikea kwenye soka yaani wapo kama vile hawataki mtu hawasumbue, simba walikataliwa goli la wazi kabisa refa anasema ile kona mpira ulitoka lakini mpira ujatoka inaonekana wazi kabisa goli limekataliwa hiyo ni kwa vilabu vikubwa kwa vidogo huku hali itakuwaje?

Halafu mpaka tatizo liwekubwa ndio mnaanza kuangaika kulitatua na wakati huo watu walishadhurumiwa point zao ndio muanze kuwalipa malimbikizo ya mishahara yao marefa.

watu wakionewa inakuwa kama vile hakijatokea kitu sasa kwa staili hiyo hakuna vilabu vitakuwa vinaipenda TFF na hiyo ni mwazo tu,huko tunapoenda mtazidi kupata aibu.

Mlianza kuwaudhi vilabu sasa hivi mnaanza kuwahudhi na mashabiki pia,halafu hata hamna aibu.

Statement waliotoa TFF Baada ya mechi ya jana kuahirishWa ni aibu sana ,nilitegemea wangeombwa radhi mashabiki wa soka maana ndio wamelipa hela zao na wamepoteza muda wao lakini TFF haijali yote hayo wao wapo kama hakuna kilichotokeA vile.wao tena wanajitoa wanasema hawausiki.

Tunapoenda huko mtakuwa kama basata mtaonekana hamna kazi mnayofanya hapo zaidi ya kupokea mishahara tu .

Ni hayo tu wakuu.
 
Kuna watu WAKIFA kama hao tunasema Mungu AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PANAPOSTAHILI ila wale wanaotenda mema hapa Duniani WAKIFARIKI Dunia tunamwomba Mungu AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI.
 
Utopolo mbona hamna furaha kila siku kulalikia TFF?
 
Back
Top Bottom