TFF, Bodi ya Ligi Kuu tunaomba VAR iwepo katika game kubwa zote

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,399
15,977
Ni HV Niko naangalia marudio ya mechi ya Simba na yanga sc ambapo Simba walikandamizwa 5 kwa 1 ndipo nikabaini kuwa Simba walipazwa wafe takribani magoli siyo chini ya Saba

Mudathiri yahya amenyimwa penati ya wazi kbsa na Hilo tukio la mudathiri lingetokea ulaya Hilo halina ubishi ni tuta moja kwa moja na kadi juu .Tena refa Hana haja ya kujiridhisha kwenye VAR Ni penat na kadi directly red card

HV Kweli kapombe ana akili timamu ? unamdaka mtu mguu alfu unamuadaa refa kuwa umekanyagwa uso wako wakt siyo Kweli kwa ulaya Hilo Ni tuta na kadi nyekundu unapewa direct red card

Sasa tunataka kila mechi kubwa husuzan derby zote ziwekwe VAR ili kuweza kutoa haki stahili

Kwa ile mechi ilipazwa kuwepo na red card mbili na penati mbili yanga wapewe

Var kuikodisha hizi za AFL, Africa football. League hazizidi dola 10k au la tuongee na motsepe Rais wa shirikisho la mpira wa miguu caf na fifa watudhamini ili kuweza kupata vifaha hzo na wangozaji wa vifaha hvyo wotoke nnje ya nnch au mm Dr nimepewe usimamizi mkuu wa kitengo Cha var

Kwako NALIA NGWENA nakuachia uwanja mnk lzm utakuwa na hoja yako muhimu

Lkn pia bila kusahau kwa Aina ya marefa wetu Ni ngumu sana kuwaona ktk michuano mikubwa ya kimataifa kwa vile upatikanaji wao Ni wa mashaka Sana na ndio maana hukuna hata refa ameitwa fifa Wala caf ila wenzetu Burundi , Rwanda ,Kenya na Uganda ,Congo , Ethiopian kila Mara wanaitwa na fifa na caf kufanya nao kazi

Last final za CAFCL refa aliechezesha fainali hizo Ni raia wa Burundi kwa jina la Pacific embu imagine Burundi inatoa refa wa kuchezesha fainali ??.Lkn pia warundi wamejazan hapa bongo kuzaka ajira za Mpira na kupata pesa ndefu Kuna shida kubwa mno kwenye hili taifa inapazwa lifumuliwe upyaa kunaa muozoo mengi na majipu kila Kona Hadi kwenye mipira imejazana
 
Back
Top Bottom