TFDA program

scolastika

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
3,893
Reaction score
5,798
Wanajukwaa naomba kuuliza kama kuna anayefahamu namna ya kusoma coz nipate chet cha TFDA nataka kufungua duka la dawa mimi nimkemia nahitaj kuuliza namna ambayo naeza soma hyo kozi na kupata chet npo dares salaam
 
Kuna course fulan niliona Kuna Dada kaenda morogoro hospital ya mkoa kusoma. Alitumia kama wiki mbili. Now ana chet na anauza madawa
Wanajukwaa naomba kuuliza kama kuna anayefahamu namna ya kusoma coz nipate chet cha TFDA nataka kufungua duka la dawa mimi nimkemia nahitaj kuuliza namna ambayo naeza soma hyo kozi na kupata chet npo dares salaam
 
Wanajukwaa naomba kuuliza kama kuna anayefahamu namna ya kusoma coz nipate chet cha TFDA nataka kufungua duka la dawa mimi nimkemia nahitaj kuuliza namna ambayo naeza soma hyo kozi na kupata chet npo dares salaam
Una mtaji wa kutosha?
 
Ww ni mkemia usiyejua kuandika..
 
[emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sikwenda kusomea kuandika isha excuse me alafu ww mbon unashindwa kujibu nilchoulza unaleta upumbavu wako hapa kama hujaelewa pta kule yaan mijitu ambayo haijaenda shule ina wivu n balaa
 
Wanajukwaa naomba kuuliza kama kuna anayefahamu namna ya kusoma coz nipate chet cha TFDA nataka kufungua duka la dawa mimi nimkemia nahitaj kuuliza namna ambayo naeza soma hyo kozi na kupata chet npo dares salaam
Kama ulisoma science na kufaulo o level tafuta chuo usome kozi ya mwaka mmoja cheti cha famasi uwe mtoa dawa(pharmaceutical dispenser)

Ile la tfda wanafunzwa wale ambao hawana elimu ya kutoa dawa kama ma nesi nk, ni ya wiki kadhaa ndio mana wengi wanasomea kwenye mahosipitali.

Ukiwa na dispenser unaweza kujiendeleza ukapata certificate na hata diploma ya pharmacy
 
Vyuo hivo ni kama royal college,,,kam college nk ...
 
Ok.
Ndoto zako ni kuanzisha Duka la Dawa(Sijajua ni Dula la Dawa Muhimu au Pharmacy), unaweza kuanzisha kwa kuwa una mtaji maana hela yako ndio itafanikisha kila kitu.

Ili kuokoa pesa kwenye sehemu ya mtoa dawa(Medicine dispenser), kasome kozi ya mwaka mmoja ya utoaji dawa. Nyuo vipo vingi hapa jijini Dar vinavyotoa hiyo kozi. Ukihitimu hiyo kozi utafanya mtihani wa Baraza la Famasi ili usajiliwe na kupata leseni ya utoaji dawa.

Mengine yote yaliyobaki, hela yako(mtaji) ndio utafanikisha kila kitu. Vitu ni vingi vinavyohitajika ili kuanzisha Duka la Dawa
 
Sikwenda kusomea kuandika isha excuse me alafu ww mbon unashindwa kujibu nilchoulza unaleta upumbavu wako hapa kama hujaelewa pta kule yaan mijitu ambayo haijaenda shule ina wivu n balaa
Bora mm sijaenda shule but najua kuandika..sasa ww msomi wa wapi usiyejua ata kuandika INSHA matokeo yake unandika ISHA..
Sitaki kuamini elimu ya bongo awamu hii imekua diluted kiasi hiki.
 
Kenge mkubw ww ya baba yako ndo iko diluted sitak uhalo wako kwenye post yangu mbwa mzee ww
 
Bora mm sijaenda shule but najua kuandika..sasa ww msomi wa wapi usiyejua ata kuandika INSHA matokeo yake unandika ISHA..
Sitaki kuamini elimu ya bongo awamu hii imekua diluted kiasi hiki.
Kuna mijitu isipochangia chochote haiwez kuridhika limekosa cha kuchangia bas halitulii kenge ww
 
Ahsante sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…