TFDA orders withdrawal of Jay Dee bottled water

i hope watajifunza kuwa sirias sasa and professionals as well

Haya mkuu nimekupata jamaa wakiwa serious namna hii kwa kila kitu naona afya zetu zitaimalika hatutauziwa konyagi na valuu feki na wale wadau wa Heineken za mchina najua wanavyo dhurika kwa kuhalisha halisha ovyo
 
The Following User Says Thank You to Acid For This Useful Post:

Bigirita (Today)​
 
Hawa wangekuwa makini kwa kila kitu kama hivi tungekuwa mbali sana....!
 
true.
 
Haya mkuu nimekupata jamaa wakiwa serious namna hii kwa kila kitu naona afya zetu zitaimalika hatutauziwa konyagi na valuu feki na wale wadau wa Heineken za mchina najua wanavyo dhurika kwa kuhalisha halisha ovyo
ni kweli kabisa, ila sasa ya heineken feki ni mambo ya law enforcement agnts kwa kushirikiana na TFDA, TBS, Mkemia, halmashauri (wasimamia leseni za biashara) pamoja na TRA... a product is confirmed fake after failure to pas quality control test but also failure to produce documents confirming its origin

Ila hii ya akina JD was straight forward, waliipua maji kama album ya machozi
 
tfda sijui ndo nani nadhani hawakupewa mgao wao ndo maana wanapiga kelele.
kuna vya moto hata mgao haukubaliki ni sawa na kwenda kujenga kinondoni makaburini sasa hivi
 
thanks mkuu... ile ya mbwete ni ya moto... nikikueleza samples zinavyopimwa na post market surveillance yetu ilivyo weak utashaa... ngoja niishie kwenye hawa walioleta maji kama wanaipua singe ya doro
 
Unamaana Gadner ndo meneja wa haya maji mkuu?

Lakini kiwanda kile si kinaelewa fika taratibu fika za kufuata unapo ingiza bidhaa yenye nembo mpya?
sasa kamuombe job description kama anayo... kama ipo na haina hii ya kufuata taratibu zote za product security basi hiyo siyo JD
 
Kabla huja fikiria kulaunch product jamani lzm ufanye kitu inaitwa pest analysis.ss watu wanajifanyie tu viitu kienyeji tutafika kweli?
Legal requirements shud be known very well..
 
Ila hii ya akina JD was straight forward, waliipua maji kama album ya machozi

Haya mzee wa MEMKWA karibu sana Mzalendo Pub mm nitakuwepo naamini production manager analifanyia kazi mzigo mpya utaingizwa sokoni
 
fitna fitnaaaaaaaaaaaaaaaaa fitnaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
mbona madudu fek kibao sana stl hawakamatwi?red bul sjui makonyag ma valuu ahh bongo noma
NAKUPENDA JAY D
una msimamo n u knw wat ur duin km ni kweli issue HAUKUWATAARIFU km unaingiza mzigo mtaani poa basi fanya procedure zao bt moyon mwangu najua ni FITNA TU izo toka kwa jamaa zako
pole mwaya
yaan awa watu wana roho ya mshipi sijapata ona jinsi nkiona madudu fek uko mtaani watu daily wana wanaharisha lakin wametulia tuuuuuuuuuuli kwa sababu wamepewa KITU KDG...
POLE MAMITO..aluta continuaaaaaaaaaaaaa kp t up waumieeeeeeeeeeeeee WANAFUNIKA JUA KWA UNGO ahhhh wap....walie tu machoz wajifute na kisu km si nyembe......FITNA MBAYA ALIPEWWA KAPEWA JAMAN.
MSALIMIE GADNA.
 
hahahahahahah safi sana!
chuki binafsi asa kizuri kiko wapi hadi unacheka?baada ya kumsikitikia unacheka anajituma unajituma kufanya maisha unacheka akikwama.then wakijiuza tena unacheka asa jema lipi kwako kak???kwa hili umechemsha saaana kaka geuka nyuma utubu
 
Kabla huja fikiria kulaunch product jamani lzm ufanye kitu inaitwa pest analysis.ss watu wanajifanyie tu viitu kienyeji tutafika kweli?
Legal requirements shud be known very well..

do u thk she didnt do that?
 
chuki binafsi asa kizuri kiko wapi hadi unacheka?baada ya kumsikitikia unacheka anajituma unajituma kufanya maisha unacheka akikwama.then wakijiuza tena unacheka asa jema lipi kwako kak???kwa hili umechemsha saaana kaka geuka nyuma utubu

Maneno makali haya dada naweza sema ya kufungulia mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…