PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
Haya. But fake ni nyingi sana.
Haya. But fake ni nyingi sana.
Kweli jamani Whitedent nimeisha nunua fake kama mara mbili hv!Haya. But fake ni nyingi sana.
acheni kutisha watu me hiyo ndio dawa ninayotumia so unanishauri nikatupilie mbali?duuuh na jana tu ndio nimenunua ile kubwa kubwa!!!!!!!!
Mamlaka ya chakula na dawa tunaomba muichunguze dawa ya whitedent, imekua na athari ya kuunguza mdomo,kupasuka na kuufanya mdomo kupoteza test unapo itumia, nadhani kemikali wanayoitumia siyo nzuri kwa kutumia inaathari,