Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,114
- 26,006
Picha: Guardian 30/3/2016
Wanapita na mizigi yao mbele ya polisi,
Wanapita na mizigo yao kwenye vumbi
Wanapita na mizigo yao kwenye tope la kinyesi
Halafu tunasema tuna shirika linalolinda afya ya walaji, ati TFDA.
Halafu tunashangaa kuongezeka kwa kipindu pindu, kifua kimuu, kuharisha!!
TFDA HAPO NI JIPU!