Text ilitaka kuniua

Huwa nataman niwaeleweshe watu kuhusu hili,halaf nyuzi kibao hapa jf za kujifarij kuwa ukioa bikra et haugongewi huwa nacheka sanaa
....unaweza ukaoa bikra na bado ukagongewa na unaweza oa sio bikra akabak muaminifu
Bro wangu aliacha kuoa demu aliyembikiri mwenyewe na kuoa demu wa kawaida nikamuuliza bro why??...akaniambia huyo bikra ukimuoa ipo ck atataka kuonja eti dushe zingne za nje zina ladha gan tofaut na ya kwako na hapo ndo utaanza kugongewa but ni mtazamo wake,all in all kuogongewa ama kutongongewa hakuna ufund
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anachokisema ni sahihi ila bikra uliotoa wew ni rahisi kumegewa Coz wanakua ndo wanaanza kuonja ladha ya dushe so kama wew ulivyo muanza anaweza mpa wa pili na wa 3 akajikuta Kat ya hao wengine atampenda kuzid hata wew wa kwanza wake so hii hesabu potofu we omba upate mtu anaekujali ukitazamia bikra andika maumivu kama nliopata mim
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…