Polesiku moja nikiwa nimepata safari ya dharura, nikamuaga binti nilokua nimekamilisha taratbu za kumuoa...
nikiwa ndani ya gari ikaingia txt ikisema "ntakuja geto lakn usinilazimishe yale mambo yako yakulamba koni hua napata kichefu chefu"
moyo ulipigwa shot ghafla nikiwa siamini macho yangu... nikamtext akawa na kigugumizi chakujibu, dah! niliumia sana na nikajiona sina thamani kabisa duniani...
nilitamani kujitoa uhai bt nilipga moyo konde then nikamwambia safari yetu ndo mwisho huo bt kamwe sintoisahau kitu hii
je wewe txt ipi ilokosewa na mwenza ilikutesa sana???
SureUlitakiwa ufurahi Sana na kumshukuru Mungu kwa kukuepushia kuoa huyo Malaya
Sent using Jamii Forums mobile app
siku moja nikiwa nimepata safari ya dharura, nikamuaga binti nilokua nimekamilisha taratbu za kumuoa...
nikiwa ndani ya gari ikaingia txt ikisema "ntakuja geto lakn usinilazimishe yale mambo yako yakulamba koni hua napata kichefu chefu"
moyo ulipigwa shot ghafla nikiwa siamini macho yangu... nikamtext akawa na kigugumizi chakujibu, dah! niliumia sana na nikajiona sina thamani kabisa duniani...
nilitamani kujitoa uhai bt nilipga moyo konde then nikamwambia safari yetu ndo mwisho huo bt kamwe sintoisahau kitu hii
je wewe txt ipi ilokosewa na mwenza ilikutesa sana???
Hahahaha. Ulikosea sana. Ungemwambia aje muongee vizuri.Daah kuna text moja ya demu fulani nilikuwa naye kwenye mahusiano nakumbuka niliteseka sana kile kipindi kuhusu Yule but kuna siku tukiwa tunachat iliingia text ya huyu demu ikisema hivi÷
"Leo nikija sitaki uniombe nyuma"
daah iliuma sana mzee kipindi hiko Mimi napigwa kalenda tu huku hakidai yeye kibra dah
Unforgetable
hiyo SMS ilikuwa sio kwa ajili yangu kaka
Hujaelewa kitu mkuu soma tenamambo yenu yakuzungu hayo mnayoyapenda unamlazimisha mwenzako kufanya kitu asichotaka alafu saiz unafeel guilt!
Wahi hospital AsapBby nikwambie kitu hii ilinipa depression