mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,024
QUOTE=utafiti;9399314]"Girl; hello bby mambo?
Boy; poa mzima wewe?
Girl; mi mzima ila nina shida kidogo
Boy; usijali mpenzi niambie tu! Shida gani?
Girl; nitumie 800,000/ nataka nikasuke pls
Boy; heee 800,000/ kusuka au kufungua salon yako bby?
Gilr; khaaa unashituka nini sasa mpenzi? Wewe si komandoo au ulinidanganya?
Boy; ni kweli sisi makomandoo kivitendo wakati wa maadhimisho tu siyo kila siku bby!
Girl; mhhhh nimekuelewa swtie basi nitumie 100,000/ tu nyengine nitaongezea mwenyewe.
Boy; hata hiyo sina mpenzi
Girl; hehehehe basi 20,000/ nikodi tax nije kwako tuongee tu mpenzi
Boy; mimi naishi kota za jeshi bby, sijajenga bado.
Girl; nyooo kinachokufanya uvunje matofali hadharani ni nini wakati unahitaji matofali yakujenga? Misifa itakuua unikome""