Teuzi za Rais Samia kulikoni?

Western countries zinaendelea sababu haziweki mambo ya dini mbele kwenye kazi
 
Mnaoendekeza huu upuuzi ni wajinga na msio na akili..hata hii utaratibu eti akitoka rais mkristo anayefuata muslamu..ni upuuzi mtupu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hizi ndio unaskia sizitaki hizi mbichi
 
Form four ulisoma wewe mwenye kichwa cha panzi sisi enzi zetu tulisoma madarasa manne tuu yalitutosha sio nyie mnasoma mpaka degree lakini kichwani hamna mjualo ni taka taka tu au debe tupu vijana wengi wa sasa.
Kajiendeleze ww. Wenzio wali soma hadi Degree mwaka 1960s. Sema tu kichwani hakukuwa na kitu uli feli. Ww kanunue mahindi huko Mbeya mkuu.
 
Kajiendeleze ww. Wenzio wali soma hadi Degree mwaka 1960s. Sema tu kichwani hakukuwa na kitu uli feli. Ww kanunue mahindi huko Mbeya mkuu.
Safi kabisa hapa naenda sumbawwnga kukusanya mahindi nije niwauzieni wasomi wa dot com.
 
Acheni mambo ya kitoto, we kama mtendaji mzuri haijalishi ni hamidu au gabriel utateuliwa tu
 
Wakiristu ni wezi mno harafu ni malaya mno bial result oriented.Mama aliniuzi kuteua mbatu kuwa CDF..mama hapa hujatutendea haki
 
Mnaoendekeza huu upuuzi ni wajinga na msio na akili..hata hii utaratibu eti akitoka rais mkristo anayefuata muslamu..ni upuuzi mtupu.

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu mbona unanishambulia mimi badala ya mleta mada, au na ww ni miongoni mwa wanaomsapoti mleta mada aliejaa chuki ya udini moyoni kwake?
 
Kwa tarifa tuu mleta maada" Rais ni Taasisi, haongozi nchi peke yake, anapofanya teuzi wakati mwingine analetewa majina na wataalamu wake wengine hata hawajui sana, lakini kwakuwa anao watu wenye weledi pale Ikulu, watu hao sio Islam peke yao, wapo pia christian, lakini pia anao wataalamu kutoka Idara mbalimbali ambao pia wanajua wanacho kifanya, na ndio humsaidia kutekeleza majukumu yako, hongera kwa uhuru wako wa mawazo. kwahiyo ondoa shaka Mkuu Inchi iko Salama hii" hayo mambo ya Kuzingatia dini yaachekwanza.
 
Achana nae huyo mkuu, raisi yuko pale kwa miaka 5 au zaidi, kwahiyo malalamiko yake na chuki zake dhidi ya raisi na dini ya raisi haviwezi kumsaidia kitu chochote kwa sasa. Cha kufanya ni yeye aende vatican kwenye nchi ya wakristo watupu na wanaoongoza kwa kufuata mifumo ya kikristo au aendelee kukaa Tanzania avumilie maumivu anayoyapata. Mwenyew amejionea jinsi watu walivyomshambulia humu kutokana na udini wake. Alijua akiandika pumba zake ndo atapata wadini wenzie wa kumsapoti, badala yake kajikuta mdini yuko peke yake uzi mzima anajijibu mwenyew.
 
nguvu,
Hilo dada limeleta uzi ili tujadiliane kuhusu ule anaoita mustakabali wa taifa letu. Ila ukimuandikia yale asioyapenda hata kama yana mantiki na faida kwa taifa hakujibu anakukwepa. Post yang namb #41 na nyingine #47 hajazijibu zote, badala yake amekuwa akileta vinaneno vya kwenye kanga sijui sijibu maswali yasiofanya nini sijui. Sasa kama hajibu sijui kwanini aliandika hii thread na kutaka ijadiliwe sehem ambayo anajua kuna watu wengi wenye akili na mifano mizuri kumshinda yeye.
 
Najua una akili ndogo. Huu uzi siyo level zako japo una bwabwajabwaja tu na kujiona una akili. Binafsi sikuleta huu uzi kwa akijili ya watoto kama wewe. Najua my message has been sent & delivered to my targeted audience siyo wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…