Teuzi za Rais Samia kulikoni?

Kwani huyo ni wa kwanza kuteuliwa?
Kama sio wa kwanza kinachokuuma ni nini sasa?

Msilete mambo ya Rwanda na Kenya kwenye nchi yetu, sisi tumechanganyana kifamilia ukikuta ndugu muislam hakosi ndugu mkristo iwe wa kuzaliwa kwa Mama/ Baba mmoja au kwa shangazi na mjomba.
 
Kama sio wa kwanza kinachokuuma ni nini sasa?

Msilete mambo ya Rwanda na Kenya kwenye nchi yetu, sisi tumechanganyana kifamilia ukikuta ndugu muislam hakosi ndugu mkristo iwe wa kuzaliwa kwa Mama/ Baba mmoja au kwa shangazi na mjomba.
Shida ya watu ya Kariba yenu huwa ni IQ ndogo. Hujikiti ktk mada. Lengo la uzi huu ni ku solve tatizo. Hapa ni Tz siyo Kenya wala Rwanda. Unadhani Nyerere angekuwa mpuuzi kama mawazo yako tusingekuwa na UDINI?
 
Mbona mkuu mpya wa majeshi ni mkristu.
 
Unadhani Nyerere angekuwa mpuuzi kama mawazo yako tusingekuwa na UDINI?
Kama umefanya utafiti wa kweli nenda ukaangalie asilimia ya watendaji kuanzia Wakurugenzi mpaka Mawaziri ni asilimia ngapi wa dini tafauti tafauti.

Halafu pia upige hesabu katika dini moja wapi ni madhehebu fulani na wapi ni dhehebu jingine. Tafuta kitabu cha 'The partnership' cha Aboud Jumbe na 'Nyerere and the Catholic Church' wamefanya analysis kuhusu issue hiyo.
 
Ulitaka wa dini gani nyingine ateuliwe? Bahati mbaya Wahindu ni kidogo sana na hawako serikalini, labda wao ndiyo wangelalamika kukosa uteuzi.
Eti haya mawazo nayo utakuta huyu nae eti ana Bachelor Degree
 
Wewe kichwani kwako hauko sawa tazama baadhi ya post zako jinsi unavyojichoresha hapa.

Huko busisi umetoka lini?

Tunavyosema mlikuwa wapi awamu ya mkazi wa chato akiteua wa kwenu huko na dini moja kwa upendeleo sio kwamba hatukuona.

Hebu pambana kwanza na ajira ili utulize kichwa safari hii hakuna kubebena kama mlivyokuwa mkidanganyana nimekaa sana na nyie watu wa huko nawajua vizuri sana ni bora ukakaa kimya hapa jukwaani.
 

Attachments

  • Screenshot_2022-07-09-19-35-34-621_com.android.chrome.jpg
    86 KB · Views: 16
  • Screenshot_2022-07-09-19-33-07-510_com.android.chrome.jpg
    86.5 KB · Views: 19
  • Screenshot_2022-07-09-19-31-55-452_com.android.chrome.jpg
    86.3 KB · Views: 16
  • Screenshot_2022-07-09-19-29-13-931_com.android.chrome.jpg
    90.9 KB · Views: 16
Ulicho kiongea kinaweza kuwa sahihi ila hiyo ina tokana na Ratio ya Educated Muslims vs Educated Christians. Hata ktk viongozi wetu wa imani ya kiroho ratio ni hiyo hiyo. Christians wana formal education (Degree) kuliko Waislam. Hili ni suala ya investment ktk Elimu kupitia mtu binafsi au kama dini/dhehebu husika. Ila tambua kuna utofauti mkubwa kati ya kuajiri na kuteua. Mchakato rasmi hufuata vigezo. Elimu na, uzoefu, misingi na taratibu za serikari (Promotion). Ila teuzi ni tofauti na mara nyingi huvuruga. Mfano akina Makonda (hana vyeti), Katibu Mkuu CCM (kuteuliwa Ikulu), nk. Hawa ni Wakristo, sina udini ila napinga upatikanaji wao.

Fanya simple random sampling (research)..uchukue raia 100 pale kariakoo..waulize dini na Elimu. Majibu utakuta Wakristo ni wengi wana degree kuliko Waislam. Hii ni Obvious. Haitaji tafiti (Ratio ya Educated muslims vs Christians). Hivyo hivyo soon.,,.kila Application 100 za Kazi Wachaga wata ongoza kuomba. Kisa? Wame soma na wana qualify. Hakuna tatizo.
Mm nacho pinga hapa ni upendeleo wa kidini kupitia teuzi.
By the way tuliambia July, 2022 kuwa nafasi hizo zitakuwa zina tangazwa zote hadharani. Watanzania wote wenye sifa waombe. Kwa nn uteuzi una endelea?

Ila naomba nieleweke. Uzi huu hauna nia na udini au ukabila. Bali ni kushauriana kama Taifa.
 
Angalia mawazo ya hizo post. Afu post hapa post zako pia tuone mlinganisho wa IQ. Sijawahi kuwa mwanasiasa wala mpambe wa mtu. Hata hao wateuliwa wana kazi, wana hamia kwingine tu. Kwahiyo usikariri. Hizo post zitangazwe kwa watanzania wote kama serikali ilivyo ahidi 2022. Ni ombe. Au una umia ni ki omba
. Sema tu hii post ime kupiga sawasawa. Ww tulia, sikilizia.
 
Pole sana mkuu kwa unayopitia jaribu kutuliza munkari huko kenya ulikokaa kumekuathiri.

Nilijua tu akili za kitanzania halisi haziwezi kuwaza ujinga namna hiyo.

Hiyo degree yako ni labda ya ubishi ndio ulihitumu.
 
Pole sana mkuu kwa unayopitia jaribu kutuliza munkari huko kenya ulikokaa kumekuathiri.

Nilijua tu akili za kitanzania halisi haziwezi kuwaza ujinga namna hiyo.

Hiyo degree yako ni labda ya ubishi ndio ulihitumu.
Huna kitu unacho kijua. Bora utulie kama umeshindwa kujikita ktk Mada.
 

Kwani shule na vyuo si zina wakristo na waislam jamani, na kila mmoja anataka aje apate fursa ya ajira nzuri katika maisha yake! Sasa ulitaka wateuliwe watu wa dini gani labda na kwa sababu gani? Acha upumbavu wa kutuingiza katika udini wewe! Nadhani hata shule hujaenda wewe! Shit!
 
Bila kuleta ushahidi wa majina ya walioteuliwa,uthibitisho wa imani zao bila kuangalia kigezo kimoja tu cha jina la kiislam (jina linaweza lisilandane na imani ya mtu na kinyume chake) na nafasi zao uzi huu utakua ni uchochezi tu...
 
Naunga mkono hii hoja..
 
Mkuu kwa upande wa dini, hebu soma baraza hili la mawaziri afu uone udini hasa ulianzia awamu ya ngapi, na pia uliwahi kushauri chochote juu ya hilo katika hii awamu ya hawa mawaziri? Je hii ilikuwa ni bahati mbaya kuto balance dini au ilifanywa kusudi kwa lengo la kuwafurahisha upande mmoja na kuwachukiza upande mungine? Karibu tujadili kwa faida na mustakabali wa taifa. Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
 

Attachments

  • IMG-20201205-WA0033.jpg
    56.4 KB · Views: 15
  • IMG-20201205-WA0034.jpg
    60 KB · Views: 16
  • IMG-20201205-WA0037.jpg
    60.6 KB · Views: 15
  • IMG-20201205-WA0036.jpg
    47.2 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…