Teuzi za Rais Samia kulikoni?

Teuzi za Rais Samia kulikoni?

WAZO2010

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2021
Posts
1,616
Reaction score
3,799
Hii nchi yetu sijajua inaendeshwaje kwa kweli. Kama Taifa hatuna Dira ya muda mrefu. Na kama nchi hatuandai vijana wa kuongoza Serikali na taasisi mbalimbali. Kila Rais mpya ata kuja na wateule wake wapya. Hataondoa vijana bora na kuweka wa ovyo.

Wengine wamepewa tuhuma za uongo ili kuhalalisha tu kuondolewa kwao. Pia, tumeacha taratibu na misingi ya promotion serikalini. Ila tuna ongozwa na milengo ya kisiasa, makundi, ukabila, kujuana, kujipendekeza, nk. Hii kitu tuikemee. China haijengwi hivyo!!

Jambo la pili, ni UDINI katika teuzi. Hivi karibuni iwe nafasi ya juu, majeshi, makatibu wakuu, Wakurugenzi, nk, kupitia page ya Msemaji wa Serikali toka Rais ateuliwe, ame kuwa na tabia ya kuteua Wakiristo ktk nafasi za Mwenyekiti wa Mashirika/Boards na Watendaji wakuu wa taasisi au serikali akiteua Waislam.

Ngazi ya juu kukiwa na mkiristo, mtendaji mkuu wa taasisi hiyo Rais ataweka Muislam. Nina uhakika na hili by 95% nimekuwa nikifuatilia. Hii ni kuondoa Wakiristo ktk utendaji wa Serikali. Sijakupangii ni nani uteue. Ila mm kama mwananchi nina uhuru wa kutoa maoni na ushauri wangu, kwa nia njema ya Taifa langu.

Hii mbegu ni mbaya sana. Isipo dhibitiwa mapema. Tuta ingia baadae kwenye ukabila.

Watu wateuliwe kutokana na Elimu, Uzoefu, utendaji kazi na umahiri wake. Samaki mkunje angali mbichi.
Akina mzee wa Sinde Warioba, Pinda, nk wanaona na wanajua ila wanaogopa kudharalishwa na hutu tu vijana kama akina Makonda, Happi, Sabaya kama mlivyo watumia hapo awali.

Watanzania wenzangu, Tanzania ni yetu sote. Tusiogope kuikosoa na kuishauri serikali kwa maslahi mapana ya Tanzania.
 
Mimi ni Mkristo. SIjafatilia teuzi kuangalia ameteuaje ila kama kateua waislam wa bongo hakuna shida kanbisa mbina tuko nao huku shekilango tunakula kitimoto. Ila kama kateua wale wa saudia uje tudhungumuzeeeeee 😬
😬 😬
 
Ni kawaida kiongozi mkuu kuteua anaowaamini katika uongozi wake. Hii ni kuanzia ngazi za juu mpaka chini, akiteuliwa asiye wa imani yake ni katika kubalansi mizani tu
 
Sijui kwanini sasa JF imetawaliwa na vijana wanaopenda kusema Udini na ukabila. Kila kiti ni udini na ukabila. Kuhusu vijana hata mimi ningekuwa Rais nisingeteua kwani tunayaona humu maofisini. IQ ni ndogo, Maringo na tamaa ya pesa ya haraka haraka. Tumeona teuzi za Magufuli zilizozalisha Akina Sabaya, Makonda, Happy n.k.
 
Mambo ya ukabila na udini ni ujinga uliopitiliza. Kuanzia kwa anayeufanya hadi kwa anayeushabikia kama wewe mleta mada.
Katika teuzi kama anayeteuliwa ni mtanzania basi...hayo mengine ni mbwembwe tu.

Btw, Kama kuna kiongozi aliyevunja rekodi ya kuteua kwa kuangalia dini na ukanda basi ni Magufuli.

Jambo la msingi tuungane wote kupiga vita huu upuuzi.
 
Sijui kwanini sasa JF imetawaliwa na vijana wanaopenda kusema Udini na ukabila. Kila kiti ni udini na ukabila. Kuhusu vijana hata mimi ningekuwa Rais nisingeteua kwani tunayaona humu maofisini. IQ ni ndogo, Maringo na tamaa ya pesa ya haraka haraka. Tumeona teuzi za Magufuli zilizozalisha Akina Sabaya, Makonda, Happy n.k.
Mkuu niliyo andika ni uongo?
 
Mambo ya ukabila na udini ni ujinga uliopitiliza. Kuanzia kwa anayeufanya hadi kwa anayeushabikia kama wewe mleta mada.
Katia teuzi kama anayeteuliwa ni mtanzania basi...hayo mengine ni mbwembwe tu.

Btw, Kama kuna kiongozi aliyevunja rekodi ya kuteua kwa kuangalia dini na ukanda basi ni Magufuli, Samia akasome!
Endelea kuwa na mawazo mgando badala ya kukemea. Ww unadhani kufumbia jicho tatizo ndio kulitatua?
 
Hii nchi yetu sija jua inaendeshwaje kwa kweli. Kama Taifa hatuna Dira ya muda mrefu. Na kama nchi hatuandai vijana wa kuongoza serikali na taasisi mbalimbali. Kila Rais mpya ata kuja na wateule wake wapya. Ata ondoa vijana bora na kuweka wa hovyo. Wengine wamepewa tuhuma za uongo ili kuhalalisha tu kuondolewa kwao. Pia, tumeacha taratibu na misingi ya promotion serikalini. Ila tuna ongozwa na milengo ya kisiasa, makundi, ukabila, kujuana, kujipendekeza, nk. Hii kitu tuikemee. China haijengwi hivyo!!

Jambo la pili, ni UDINI katika teuzi. Hivi karibuni iwe nafasi ya juu, majeshi, makatibu wakuu, Wakurugenzi, nk, kupitia page ya Msemaji wa Serikali toka Rais ateuliwe, ame kuwa na tabia ya kuteua Wakiristo ktk nafasi za Mwenyekiti wa Mashirika/Boards na Watendaji wakuu wa taasisi au serikali akiteua Waislam. Ngazi ya juu kukiwa na mkiristo, mtendaji mkuu wa taasisi hiyo Rais ataweka Muislam. Nina uhakika na hili by 95% nimekuwa nikifuatilia. Hii ni kuondoa Wakiristo ktk utendaji wa Serikali. Sijakupangii ni nani uteue. Ila mm kama mwananchi nina uhuru wa kutoa maoni na ushauri wangu, kwa nia njema ya Taifa langu.

Hii mbegu ni mbaya sana. Isipo dhibitiwa mapema. Tuta ingia baadae kwenye ukabila.

Watu wateuliwe kutokana na Elimu, Uzoefu, utendaji kazi na umahiri wake. Samaki mkunje angali mbichi.
Akina mzee wa Sinde Warioba, Pinda, nk wanaona na wanajua ila wanaogopa kudharalishwa na hutu tu vijana kama akina Makonda, Happi, Sabaya kama mlivyo watumia hapo awali.

Watanzania wenzangu, Tanzania ni yetu sote. Tusiogope kuikosoa na kuishauri serikali kwa maslahi mapana ya Tanzania.
We Jamaa mpuuz* sana....Huu uzi ungeuanzisha kipindi kile Mwendazake anateua Kanda ya ziwa tena wa dini moja tu, ungekuwa wa maana sana.
 
Mtoa uzi huu lazima utakuwa mchawi au mdini au kama vyote huna unatoka kabila lile linaloamini matambiko. au kujifukiza badala ya kunywa dawa
Jikite ktk mada Mkuu. Wasomi hawana Singeli mdomoni. Ni kweli au si kweli?
 
Hii nchi yetu sija jua inaendeshwaje kwa kweli. Kama Taifa hatuna Dira ya muda mrefu. Na kama nchi hatuandai vijana wa kuongoza serikali na taasisi mbalimbali. Kila Rais mpya ata kuja na wateule wake wapya. Ata ondoa vijana bora na kuweka wa hovyo. Wengine wamepewa tuhuma za uongo ili kuhalalisha tu kuondolewa kwao. Pia, tumeacha taratibu na misingi ya promotion serikalini. Ila tuna ongozwa na milengo ya kisiasa, makundi, ukabila, kujuana, kujipendekeza, nk. Hii kitu tuikemee. China haijengwi hivyo!!

Jambo la pili, ni UDINI katika teuzi. Hivi karibuni iwe nafasi ya juu, majeshi, makatibu wakuu, Wakurugenzi, nk, kupitia page ya Msemaji wa Serikali toka Rais ateuliwe, ame kuwa na tabia ya kuteua Wakiristo ktk nafasi za Mwenyekiti wa Mashirika/Boards na Watendaji wakuu wa taasisi au serikali akiteua Waislam. Ngazi ya juu kukiwa na mkiristo, mtendaji mkuu wa taasisi hiyo Rais ataweka Muislam. Nina uhakika na hili by 95% nimekuwa nikifuatilia. Hii ni kuondoa Wakiristo ktk utendaji wa Serikali. Sijakupangii ni nani uteue. Ila mm kama mwananchi nina uhuru wa kutoa maoni na ushauri wangu, kwa nia njema ya Taifa langu.

Hii mbegu ni mbaya sana. Isipo dhibitiwa mapema. Tuta ingia baadae kwenye ukabila.

Watu wateuliwe kutokana na Elimu, Uzoefu, utendaji kazi na umahiri wake. Samaki mkunje angali mbichi.
Akina mzee wa Sinde Warioba, Pinda, nk wanaona na wanajua ila wanaogopa kudharalishwa na hutu tu vijana kama akina Makonda, Happi, Sabaya kama mlivyo watumia hapo awali.

Watanzania wenzangu, Tanzania ni yetu sote. Tusiogope kuikosoa na kuishauri serikali kwa maslahi mapana ya Tanzania.
Achana na mawazo ya kizombi haya
 
Huu uteuzi wa mkurugenzi wa LATRA inaelekea umekuuma sana au aliyetolewe Mr Ngewe ni baba yako? au uliahidiwa atateuliwa mmeo/mkeo?
Jikite ktk mada Mkuu. Wasomi hawana Singeli mdomoni. Ni kweli au si kweli?

Kwani huyo ni wa kwanza kuteuliwa?
 
Mada ya kipuuzi kipindi cha awamu ya 5 mlikuwa wapi mje mjitokeze sasa na huu ujinga wenu??
Unge acha kuchangia kama ni uongo ila umeona imepiga mfupani ndio maana umejaa sumu. Tulia dawa iingie.
 
Back
Top Bottom