blackgold engineer
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 107
- 195
jamani naomba kuuliza kuna shortlist yoyote au waliopigiwa simu za tpdc kuitwa kazini baada ya ule usaili uliokamilika tar 4-12-2013???
jamani naomba kuuliza kuna shortlist yoyote au waliopigiwa simu za tpdc kuitwa kazini baada ya ule usaili uliokamilika tar 4-12-2013???
hata mimi nimepigiwa leo saa moja jioni na namba ya mezani inayoishia na 109
hata mimi nimepigiwa leo saa moja jioni na namba ya mezani inayoishia na 109
hongera sana,wamekuita kwa post gani mkuu????
poa,,ahsante mkuu,,mimi nilikua ule usaii wa petroleum engineer..Kwa Geo-scientists, Geologists tayari, sijajua post yenu petroleum Eng.
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us