Tetesi za usajili Tanzania special thread

Hivi Hutu ajibu si alikua kapata timu Egypt!? Sasa uko singida kafata nini!?yani watu wa kiwango chake wanatafuta timu zinazocheza michuano ya kimataifa ili waonekane yeye,anakimbilia kwenye timu kama singida!? Bora hata angeenda yanga,sometimes akili za wachezaji wa bongo zinashangaza...wakina kamusoka pamoja na umri wao michuano ya kimataifa imewatangaza Leo hii mpka wanaitwa timu ya taifa watu waliokuwa wameshakata tamaa kila wakakaza!!
 
Ok sasa upo wapi maana yeye anakaa Tegeta kwa sasa
Sikacheza pamoja na kina John Boko na Said Mnyika na Pirlo yule kaka yake John Boko
 
Back
Top Bottom