Tetesi za usajili Tanzania special thread

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Tupeane Tetesi za usajili katika Club zetu mbali mbali
1:John Bocco - Azam fc to Simba sc
2:Neck Maxine - Assistant Coach Young African
- Confirmed by Jangwani magazine
3:Ajib na Mkude Simba sc to Young African
4:Mbaraka Yusuph Kagera sugar to Young African
5:Banda Simba sc to Young African
6:Ajib Simba sc to Singida utd- Confirmed
7: Yanga wanatafuta kipa kutoka Cameroon
 
Tupeane Tetesi za usajili katika Club zetu mbali mbali
1:John Bocco - Azam fc to Simba sc
2:Neck Maxine - Assistant Coach Young African
3:Ajib na Mkude Simba sc to Young African
4:Mbaraka Yusuph Kagera sugar to Young African
5:Banda Simba sc to Young African
Mwambusi ataondoka yanga?
 
yanga wapuuzi neck mexime ajui kiingereza
Lugha ya soka inafahamika kirahis kwa kila mwanamichezo! Kina Mata, Digea, Aguero na wengineo mpaka leo English yao ni ya kuungaunga! Ila Meck hawezi kubali kwenda Yanga kuwa msaidizi! Miaka ya nyuma akiwa Mtibwa aliwafitini sana kina Mayanga na Olaba ili tu awe kocha mkuu mtibwa!
 
mbele ya pesa mwenyewe kasema yupo tayari
 
Mtendaji wa singida united kakanusha hakuna usajili wowote wa mchezaj kutoka simba na kocha babu Hans amesema hajapendekeza jina la mtuu yoyotee kutoka simba
 
Back
Top Bottom