Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
jaman hayo matokeo ni
kwamba kuna pages zimepotea ndo wanatafuta au kuna tatizo gani kwa
sababu yamesha tuchosha kusubiri kama yamemalizika mapema kusahihishwa
kwann wasi yatoe sasa tanzania kila kitu rough,,,

Teh teh teh,kuweni na subra nyie,mnataka kilichomkuta dr.ndelichako na waislam kijirudie?,acheni wajiridhishe,mna harakatgani nyie,mitoto yenu yenyewe mivilaza,wazee wa desa halaf mna haamu na matokeo yao,kausheni nyie
 
yameshatoka ingia facebook.com mtayakuta huku c kwa watoto wa o'level
lakini haukulazimishwa kusoma wala kuchangia hii thread,uliweza kukaa kimya na kufanya mambo mengine unayona ya maana kwako na utuache sisi na hayo matokeo kwani ndo ya maana kwetu.
:mad:
 
Hivi hii serikali ina mpango gani kuhusu matokeo yetu?. Watuambie bana hata kama tumeboroga lakini ni yetu tujue tunafanya nini. leo ni wiki imeisha tangu form six waanze mitihani sasa inakuaje?
 
Hivi hii serekali ina mpango gani kuhusu matokeo yetu?. Watuambie bana hata kama tumeboroga lakini ni yetu tujue tunafanya nini. leo ni wiki imeisha tangu form six waanze mitihani sasa inakuaje?

Yawezekana !
 
Poleni, ni kweli kama mtu umefanya mtihani na matokeo yakachukua muda mrefu bila kutangazwa inaumiza. Hata hivyo kuweni wavumilivu!
 
Mmeambiwa form five ni hadi mwezi wa saba sasa haraka ya nini?

Mkuu una ufinyu mdogo sana wa upeo, Nani kwakwambia kuwa matokeo ya 4m4 ni kwa ajili ya wanajiunga na 4m5 tu? Vipi kuhusu wanaorudia mitihani hiyo ambapo kuna tarehe limit ya kijiandikisha? Vipi kuhusu watakaoenda vyuo mbalimbali mfano vya ufundi, afya etc?
 
du! Ndo maana jf post nyingi zisizo na maana kumbe mbaka wanafunzi wa form four wapo? Si umewasikia wenyewe wanataka matokeo yao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom