Tetesi za Dirisha Dogo Simba

Tetesi za Dirisha Dogo Simba

Julio na kibadeni ni wazee wa 0713 ili upangwe so ukiwakatalia utakaa benchi milele one day nilikuwa na dokta mmoja yupo amana akawa ananieleza jinsi ambavyo king kiba huwa anenda kupigwa bomba kusafishwa

NADHANI UMEMKUMBUKA Santifit (bwabwa)
 
Julio na kibadeni ni wazee wa 0713 ili upangwe so ukiwakatalia utakaa benchi milele one day nilikuwa na dokta mmoja yupo amana akawa ananieleza jinsi ambavyo king kiba huwa anenda kupigwa bomba kusafishwa
akili yako hiko sawasawa kweli wewe!!!!!!
 
simba itafanya kosa kubwa kumrudisha kaseja,jamaa majungu sn.okwi na oloya safi lkn wageni watano tu ndo wanatakiwa.hapa inabid wawe makini kat ya okwi na oloya.TFF cjui wanaishi dunia ipi coz kuluzimisha players watano tu ni kuziua tim zetu angalau wangeruhusu kw Mechi 1 wacheze wagen watano lkn tim ziruhusiwe kusajil wanaopenda
 
juu ya Kaseja pengo limeonekana wazi, kwa maneno anayozungumza kitaa atakua amejifunza sana, Dhaira anakwenda matibabu na hata hivyo mkataba wake uko wazi kwamba akipata timu ya nje anaondoka, akikosekana Kaseja anakuja Cassilas wa Mtibwa Manungu ingawa inasemekana anapenda sana rushwa
 
simba watafute tu kocha kwani aliyepo ni kama msimamizi tu wa mazoezi. Timu haichezi kama iliyokuwa na mwalimu hata wakishinda utafurahia goli lakini hakuna move yoyote ya maana.

tena mechi zote wanapata penati, hii imekaaje!!!!?
 
Back
Top Bottom