Time kwa muziki wa fleva kufa kwani hauna maana yeyote kwa jamii na tumechoka vimbwenga vyao. Clouds waliwatumia wasanii wa fleva kwa kusafirisha mizigo yao nje huku wanamuziki wakipewa free air time kupigiwa ngonjera zao na ndiyo maana nyimbo zao hazina ubora. Utashangaa mtu anaimba masuala ya pipi kijiti au kusifia bangi kisha wimbo unakuwa TOP HIT Tanzania, yaani basi tu wajinga waliwao. Ruge atawamaliza wote hawa.