Tetesi ya mgomo wa vikosi kazi kwa vijana wanaodhaminiwa na Lumumba

IRINGA MOJA

JF-Expert Member
Nov 13, 2014
503
229
Inasemekana vijana wanaofanya kazi mbalimbali ndani ya chama cha mapinduzi wamegoma leo. Nilipotaka kujua kwa nini rafiki yangu mmoja hachangii na muda wote namuona hewani na anatype ndipo akatoboa "ndg tangu asubuhi ukiangalia magroup mengi ya whatsapp, mtandao wa wanabidii, jamii forum na kwingineko utagundua leo kuko kimya tofauti na siku zingine" alinyetisha mtoa taarifa.

Mnyetishaji akaendelea.... tumegoma watu zaidi ya 500 na hapa inaonyesha tumegoma watu wa It ambao tunasimamiwa na January Makamba, watu wa kuchana picha za upinzani popote zinapoonekana, watu wa kutukana na kupinga nguvu ya UKAWA katika mitandao ya kijamii na wengine ambao kazi zao hasa hazieleweki.



Imebainika kwamba watu hawa hawajalipwa ujira wao tangu juzi na kwa pamoja leo waliamua kugoma kufanya kazi za hao watwana ili kushinikiza kulipwa stahiki zao. Stahiki wanazodai ni pamoja na malipo ya kila siku ambayo hakufafanua ni kiasi gani kwani kila kundi lina malipo yao, malipo ya vocha na pia huduma ya BANDO kwa ajili ya mawasiliano kwa kikosi cha Makamba.

Ama kweli CCM ni ile ile. walimu wanadai, madaktari wanaidai, wakulima wanadai, askari wanadai na hawa vijana wanadai...........

 
It sound kama uzushi fulani hivi. KwanKwani wana UKAWA wanalipiwa bundle na nani??? Hizi ni propaganda nyepesi.
 
January kawadanganya kama alivyodanganya kujusu tafiti za maoni ya uchaguzi au kama alivyodanganya kuhusu matokeo ya form four Galanosi
 
lakini kweli,sijamuona Lizaboni wala @ rutashobolwa humu mud mrefu
 
Last edited by a moderator:
Labda kuna ukweli kwakuwa kuna uzi ulikuwepo hapa leo kuwa magamba wamekimbia mtandaoni. Na wagome tu
 
Back
Top Bottom