Tetesi; star times king'amuzi kushika channel zaidi ya zile zilizoorodheshwa

kidi kudi

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,419
1,981
Katika pita pita yangu katika maduka ya electronics hapa mjini nimesikia stori za baadhi ya wauzaji hao wakidai eti vin'gamuzi vya star timez vinachakachulika na kuweza kunasa hata zile channel ambazo kimsingi ni za kulipioa mfano M-series, Supersports, etc.. je hili lina ukweli wowote na kama ni kweli mwenye utaalamu hebu atujuze kidogo kuhusiana na hii kitu!!

Nawasilisha.
 
Settings-Channel Search- Manual- endi zeni unaweka hzo namba mie apa napata za 570 na zinashika ATN n ATN2 ambapo ATN2 ni ZCINEMA.. but tatizo ni kwamba sauti inanasaa nasa sana vp apo mwenye kujua kutatiza ili kitu tatizo sio signal ni sauti
 
Sawa wakuu hizo channel ni kwa Dar es salaam tu au kote,maana mi niko Mbozi Mbeya na inagoma tatizo laweza kuwa nini?
 
Aha! Sasa kama wanarusha channel zaidi ya zile wanazojinadi nazo, vipi kuhusu kodi ya Serikali wazee, hapa nchi inaibiwa.
 
Wapuuzi wakubwa hawa STartimes yaani hawana hata chaneli ya uhakika kuangalia olimpiki
Shame.........
 
570 au 530 nimezipata ila ni Madani pekee ndio inaonyesha nayo kuna box ya conax bt nyingine kama CNN, PRESS TV, EATV hazina picha na ATN ni sauti tu inatoka bila picha. Kuna mwenye mautundu kujua nini cha kufanya tuzipate?.
 
Back
Top Bottom