Mikia wanajifanya kama huu uzi hawauoni vile. 😜
Mikia wanajifanya kama huu uzi hawauoni vile. [emoji12]
Mngejibu ka hivi Mtani tukajua mpo mana nimeona kimyaaa. Mpaka nkajisemea kama nawaona jinsi roho zilivyowapaa. 😀😀😀Tunauona sana, mimi nachukulia tu kama msemo wa wahenga wa, "Ganda la muwa la jana ..."
Nimejifariji wapi Mkuu! Au na wewe ndio umeteseka na hii tetesi. 😀😀😀😀Yaanini unajifariji na tetesi Kabisa !! na unakuja na mkwara eti mikia wako wapi...yanga mna stress zaidi ya kisuswa alie suswa [emoji1][emoji1][emoji1]
Mngejibu ka hivi Mtani tukajua mpo mana nimeona kimyaaa. Mpaka nkajisemea kama nawaona jinsi roho zilivyowapaa. 😀😀😀
Sababu mleta uzi kasema ni tetesi.
Oooh. Hapo sawa Mtani. Japo ka mie hata huwa simfagilii.Okwi hana mkataba na sisi, yuko huru kwenda popote.
Kama anataka kuwa chura ni heri pia.
Oooh. Hapo sawa Mtani. Japo ka mie hata simfagilii.
Msuva akirudi Tena bongo ndio kwisha habar yake katika sokaOkwi yupo simba sanaaa. Utamwona pamoja na msuva simba day.
Anaweza kurudi..mkia yule..alafu Timu Yao haichezi CAFMsuva akirudi Tena bongo ndio kwisha habar yake katika soka
Yaani ile pesa ya kuchangachanga ndio wanataka yote mmpatie Okwi? Wawalipe kwanza kuna Dante na Juma Abdul mishahara yao wanayodai.Wakuu Kwema,
Kuna tetesi zinasikika huku mitaani kua Mshambuliaji Hatari wa Timu ya Taifa ya Uganda, "The Uganda Cranes" aliekua akiichezea Club ya Simba, Emmanuel Arnold Okwi amesaini kwa wanajangwani, Dar es Salaam Young Africans (Yanga).
Tetesi hizi nimezisikia hapa kwa kijiweni napoletaga Viatu kung'arisha. Kuna mwenye kufahamu kuhusu hili?
Kumbe na ujanja wote huo wewe ni chura?Mikia kama huu uzi hawauoni vile. 😜