Rasib JF-Expert Member Apr 23, 2012 395 45 Apr 30, 2012 #1 Mheshimiwa Livingstone Lusinde (MB) Mtera, duru za siasa za sema kuna uwezekano mkubwa wa kuukwaa uwaziri ili kumlipa fadhila na kumfuta machoz kwa alichokifanya katika kampeni za CCM Arumeru mashariki kwa kumwangusha Sioi Sumari, source UDAKU....
Mheshimiwa Livingstone Lusinde (MB) Mtera, duru za siasa za sema kuna uwezekano mkubwa wa kuukwaa uwaziri ili kumlipa fadhila na kumfuta machoz kwa alichokifanya katika kampeni za CCM Arumeru mashariki kwa kumwangusha Sioi Sumari, source UDAKU....
M MWANANGUTA Member Apr 28, 2012 11 28 Apr 30, 2012 #2 Niwachane...........!nisiwachane!?ukiona atatema mate?ujue CCM,akawe waziri wa Wambea kwani alikiri Clous kwamba anaongea uongo.Jimbon Mtera 2015 ataaga.
Niwachane...........!nisiwachane!?ukiona atatema mate?ujue CCM,akawe waziri wa Wambea kwani alikiri Clous kwamba anaongea uongo.Jimbon Mtera 2015 ataaga.
Rasib JF-Expert Member Apr 23, 2012 395 45 Apr 30, 2012 Thread starter #3 MWANANGUTA said: Niwachane...........!nisiwachane!?ukiona atatema mate?ujue CCM,akawe waziri wa Wambea kwani alikiri Clous kwamba anaongea uongo.Jimbon Mtera 2015 ataaga. Click to expand... Yaani afungashe virago kabisa akajiunge na taarabu, asituletee za kike kike
MWANANGUTA said: Niwachane...........!nisiwachane!?ukiona atatema mate?ujue CCM,akawe waziri wa Wambea kwani alikiri Clous kwamba anaongea uongo.Jimbon Mtera 2015 ataaga. Click to expand... Yaani afungashe virago kabisa akajiunge na taarabu, asituletee za kike kike