Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,450
- 12,317
Habari hii ni kutoka kwa mtu wa ndani kabisa wa klabu na ni mmoja kati ya viongozi wa juu w Simba....nisiwachoshe sana ishu iko hivi Mo Dewji baada ya kukubaliwa timu kuwa mdhamini mkuu na kutoa kitita cha usajili Bilioni kadhaa sasa hivi ana claim apewe hati za jengo la Makao Makuu ya Klabu,baadhi ya viongozi w Simba wanagoma Dewji asipewe hati maana bado hajatoa pesa ya udhamini Bilioni 30.
Madai ya Mo hadi sasa ni kwamba kasha kashatoa Bilioni tano kwa klabu,ila hoja hii inapingwa vikali na na wadau wa Simba akiwamo mzee Dalali wao wanasema hizo B 5 ilikua ni kwa ajili ya kuisaidia klabu na haikuwa katika makubaliano ya hela za udhamini....
Ngoma nzito hii ishu ya moto kabisa