Tetesi: Mgogoro wa Kutisha Simba unanukia, Mo kuikacha timu?

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
10,512
2,000
Habari hii ni kutoka kwa mtu wa ndani kabisa wa klabu na ni mmoja kati ya viongozi wa juu w Simba....nisiwachoshe sana ishu iko hivi Mo Dewji baada ya kukubaliwa timu kuwa mdhamini mkuu na kutoa kitita cha usajili Bilioni kadhaa sasa hivi ana claim apewe hati za jengo la Makao Makuu ya Klabu,baadhi ya viongozi w Simba wanagoma Dewji asipewe hati maana bado hajatoa pesa ya udhamini Bilioni 30.

Madai ya Mo hadi sasa ni kwamba kasha kashatoa Bilioni tano kwa klabu,ila hoja hii inapingwa vikali na na wadau wa Simba akiwamo mzee Dalali wao wanasema hizo B 5 ilikua ni kwa ajili ya kuisaidia klabu na haikuwa katika makubaliano ya hela za udhamini....

Ngoma nzito hii ishu ya moto kabisa
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
11,665

"Ukitaka kula shurti ukubali kuliwa kidogo" - by anonymous (former president of the utd rep of Tanzagiza).
 
Tui

JF-Expert Member
Jun 2, 2018
1,010
2,000
Huyu popoma hajui hata katiba ya Simba. Anafikiri bado kule zamani ambako mgogoro unaanzishwa kwa majungu ya kwenye kahawa.
Hati ya jengo la Simba!!!!!
 
jogoo_dume

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
2,147
2,000
Habari hii ni kutoka kwa mtu wa ndani kabisa wa klabu na ni mmoja kati ya viongozi wa juu w Simba....nisiwachoshe sana ishu iko hivi Mo Dewji baada ya kukubaliwa timu kuwa mdhamini mkuu na kutoa kitita cha usajili Bilioni kadhaa sasa hivi ana claim apewe hati za jengo la Makao Makuu ya Klabu,baadhi ya viongozi w Simba wanagoma Dewji asipewe hati maana bado hajatoa pesa ya udhamini Bilioni 30.

Madai ya Mo hadi sasa ni kwamba kasha kashatoa Bilioni tano kwa klabu,ila hoja hii inapingwa vikali na na wadau wa Simba akiwamo mzee Dalali wao wanasema hizo B 5 ilikua ni kwa ajili ya kuisaidia klabu na haikuwa katika makubaliano ya hela za udhamini....

Ngoma nzito hii ishu ya moto kabisa
Mkidrop point siku inayofuata lazima mtunge stori za simba hali mbaya.
 
steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
6,494
2,000
Kama kweli hilo ndio lengo lake,asepe tu kwa kweli tutachangishana mabakuli kama watani zetu wanavyofanya hadi tutakapokaa sawa
 
kyata

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
1,233
2,000
Mpeni hati Mr. Mo Simba wacha ujanja ujanja. Hebooo, mabilioni take mchukue alafu club na Mali zake zibaki mikononi mwenu, hapana hiyo siyo, inabidi apewe umiliki wake kwa club na Mali zake zote Kama kwa mujibu was mkataba, yaani 49% kwa 51%, mkiendelea kufanya ujanja ujanja anawatema kama siyo kuwamwaga, maana Simba so babaake wala mamake in Manara,s voice.
 
Jang-Bogo

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
2,891
2,000
Wewe mtu wa ndani kabisaaa wa Simba Umtoe wapi? kwanza sema status yako kwa jamiii na umarufu wako wa kupata hata kukaa sebure moja na mtu wa ndani ya SIMBA, YANGA ACHENI UJINGA WENU
Usitishike kusikia neno mtu wa ndani ukadhan kwamba ni watu wa tofauuutiii..ni watu wa kawaida sana tunaoishi nao mtaani.
Halaf kuwa na uhusiano na watu walio kwenye ngazi za maamuz kama hizi wala huitaji kuwa maarufu kama unavyofikiria.
HABARI ZA MTU ZIKO KWA MTU kumbuka hilo
 
Lutandagula

JF-Expert Member
Apr 8, 2018
738
1,000
Habari hii ni kutoka kwa mtu wa ndani kabisa wa klabu na ni mmoja kati ya viongozi wa juu w Simba....nisiwachoshe sana ishu iko hivi Mo Dewji baada ya kukubaliwa timu kuwa mdhamini mkuu na kutoa kitita cha usajili Bilioni kadhaa sasa hivi ana claim apewe hati za jengo la Makao Makuu ya Klabu,baadhi ya viongozi w Simba wanagoma Dewji asipewe hati maana bado hajatoa pesa ya udhamini Bilioni 30.

Madai ya Mo hadi sasa ni kwamba kasha kashatoa Bilioni tano kwa klabu,ila hoja hii inapingwa vikali na na wadau wa Simba akiwamo mzee Dalali wao wanasema hizo B 5 ilikua ni kwa ajili ya kuisaidia klabu na haikuwa katika makubaliano ya hela za udhamini....

Ngoma nzito hii ishu ya moto kabisa
Tanga mmehamia Simba,ya kwenu yamewashinda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tui

JF-Expert Member
Jun 2, 2018
1,010
2,000
Wanafikiri ni kama wao mpaka leo hati ya Yanga ipo kwa Mzee Juma Kagoma!!
Simba sasa imaendeshwa kisasa. Kuna bodi ya wataalamu.
Michoso ya kwenye ghahwa peleka jangwani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom