Mtafute YESU KRISTO achana na mambo usiyoyajuaWanaume sisi ni wapole sana na wakarimu sana kwa wanawake tunao wapenda.
Tunaweza kukuhonga chochote au kukupa chochote. Ukitulia na kuonyesha upendo ule wa kweli.
But the moment, tamaa imekuingia na ukatu provoke to the point ya kutudhulumu au kutaka kutuua.
Tukiwahi kujua, my dear you are finished!
Atakuwa mgeni mjini huyu😀😀Kuna michezo mjini wewe Huwezi amini
IT IS WE BABA
KamuwahiKifupi mwamba angechelewa kidogo tu angetangulizwa yeye…
Wachagga, Waha na Wakinga siyo Binadamu wa ku associate nao
Swali liko palepale, ile nyumba ni ya nani?Bella Urassa, ambaye ni dada wa marehemu Jenifer (Jeni) Urassa amesema hawezi kusema uongo, ni kweli mdogo wake alimweleza siku chache kabla ya kuuawa kuwa alikuwa na hofu kuhusu usalama wa maisha yake, akihusisha hofu hiyo na mgogoro wa umiliki wa nyumba yao iliyopo Bunju, Dar es Salaam. Hii ni baada ya Jane kubadilisha umiliki (hati) ya nyumba na kusoma jina lake na jina la watoto wake kinyume na matakwa ya mumewe Laurent Kweka ambaye kimsingi ndiye mmiliki halali wa nyumba hiyo.
Nisiwe muongo, ni kweli Jeni alinieleza kuwa ni kweli ameshughulikia hati na hati ya nyumba hiyo imetoka ikiwa na majina ya watoto wao wanne, na jina lake yeye akiwa msimamizi wao, jambo ambalo alidai lilipingwa na mume wake aliyekuwa akitaka hati hiyo iandikwe kwa majina ya wanandoa hao wawili.
Jeni kwa sababu zake binafsi hakutaka kabisa hati za umiliki wa mali ikiwemo nyumba hiyo yenye thamani ya inayopindukia milioni 350 viwe na jina la mumewe.
Kwa mujibu wa Bella, baada ya hati hiyo kutoka, Jeni aliwahi kusema anaamini mume wake angeweza kumuua kutokana na kitendo alichofanya cha kubadili hati hiyo ya nyumba bila idhini ya mumewe
Aidha Jeni alienda mbali zaidi akachukua mkopo bila ridhaa ya mume wake ba bila kumjulisha. Hata hivyo Mkopo alishindwa kurejesha, na walivyo mtafuta mume wake aka wajibu yeye hana pesa hivyo washughulike na aliyechukua mkopo.
Jeni, mzaliwa wa Nkuu Sinde, Kata ya Machame Mashariki, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, aliuawa kwa kupigwa risasi na mume wake alfajiri ya Alhamisi, Oktoba Mosi, 2026, nyumbani kwao Bunju, baada ya kutokea kwa tafrani ndani ya chumba walichokuwa wakiishi.
Akizungumzia mazishi, baba mdogo wa marehemu, Joseph Urassa, amesema familia ya kwao imeamua kumzika Jeni nyumbani kwao, kama alivyokuwa ameomba kuwa siku akifa asizikwe nyumbani kwa mume wake... Kwa upande wake, Mwenyekiti wa ukoo wa familia alikoolewa, Mchungaji Tumsifu Kweka, amesema familia yao haitalumbana na familia ya Urassa na itaheshimu taratibu zitakazokubalika kuhusu mahali marehemu atakapozikwa.
NOTE:
1. Ni kweli 100% kuwa Jane alifanya hila na njama za kubadili umiliki wa mali ya mumewe kwa nia ovu ya kumdhulumu. Na hata Jane alijua si halali ndio maana alikuwa na hofu kuwa mwanaume asingechukulia poa huo upumbavu.
2. Ni kweli 100% kuwa familia ya Jane ilikuwa ina taarifa zote za nia ovu ya Jane ya kutaka kumdhulumu mwanaume mali zake ikiwemo nyumba lakini hawakumkemea wala kumshauri aache hiyo tamaa.
3. Ni kweli 100% kuwa Jane alishajipanga si tu kuachana na mumewe bali pia kumdhulumu mwanaume mali zake ikiwemo nyumba ndio maana alishawataarifu ndugu zake mapema kuwa hata akifa asiende kuzikwa nyumbani kwao mumewe.
4. Unawezaje kumtetea Jane kuwa hakupanga kumdhulumu mune wake mali na huenda hata alikuwa katika mipango ya kumuua mumewe ni vile tu amewahiwa. Kwa nini ahakikishe katika hati hiyo hakuna jina la mume wake? Si ni kwa sababu alijua mume wake atapoteza maisha siju za karibuni iwe kwa saratani au kuuawa?
Mwenyekiti mnanipa wakati mgumu sana kuwatetea ninyi wanawake.
Punguzeni tamaa! Tamaa ikichukua mimba huzaa dhambi, nayo dhambi ikiishakukomaa huzaa mauti.
Si Jane tu alikuwa na tamaa bali hata ndugu zake walikuwa na tamaa ndio maana licha ya kuwa na taarifa za Jane kumdhulumu mume wake hawakumzuia wala kumshauri aachane na mpango huo hatari. Matokeo yake wamepokea maiti.
#C&P from well believed sources!
Duh! Watafiti wa matrimonial violence duniani kote wakafanyie tafiti zao Moshi. Huko ni wazamivu wa hizi mambo shetani akasome!Bella Urassa, ambaye ni dada wa marehemu Jenifer (Jeni) Urassa amesema hawezi kusema uongo, ni kweli mdogo wake alimweleza siku chache kabla ya kuuawa kuwa alikuwa na hofu kuhusu usalama wa maisha yake, akihusisha hofu hiyo na mgogoro wa umiliki wa nyumba yao iliyopo Bunju, Dar es Salaam. Hii ni baada ya Jane kubadilisha umiliki (hati) ya nyumba na kusoma jina lake na jina la watoto wake kinyume na matakwa ya mumewe Laurent Kweka ambaye kimsingi ndiye mmiliki halali wa nyumba hiyo.
Nisiwe muongo, ni kweli Jeni alinieleza kuwa ni kweli ameshughulikia hati na hati ya nyumba hiyo imetoka ikiwa na majina ya watoto wao wanne, na jina lake yeye akiwa msimamizi wao, jambo ambalo alidai lilipingwa na mume wake aliyekuwa akitaka hati hiyo iandikwe kwa majina ya wanandoa hao wawili.
Jeni kwa sababu zake binafsi hakutaka kabisa hati za umiliki wa mali ikiwemo nyumba hiyo yenye thamani ya inayopindukia milioni 350 viwe na jina la mumewe.
Kwa mujibu wa Bella, baada ya hati hiyo kutoka, Jeni aliwahi kusema anaamini mume wake angeweza kumuua kutokana na kitendo alichofanya cha kubadili hati hiyo ya nyumba bila idhini ya mumewe
Aidha Jeni alienda mbali zaidi akachukua mkopo bila ridhaa ya mume wake ba bila kumjulisha. Hata hivyo Mkopo alishindwa kurejesha, na walivyo mtafuta mume wake aka wajibu yeye hana pesa hivyo washughulike na aliyechukua mkopo.
Jeni, mzaliwa wa Nkuu Sinde, Kata ya Machame Mashariki, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, aliuawa kwa kupigwa risasi na mume wake alfajiri ya Alhamisi, Oktoba Mosi, 2026, nyumbani kwao Bunju, baada ya kutokea kwa tafrani ndani ya chumba walichokuwa wakiishi.
Akizungumzia mazishi, baba mdogo wa marehemu, Joseph Urassa, amesema familia ya kwao imeamua kumzika Jeni nyumbani kwao, kama alivyokuwa ameomba kuwa siku akifa asizikwe nyumbani kwa mume wake... Kwa upande wake, Mwenyekiti wa ukoo wa familia alikoolewa, Mchungaji Tumsifu Kweka, amesema familia yao haitalumbana na familia ya Urassa na itaheshimu taratibu zitakazokubalika kuhusu mahali marehemu atakapozikwa.
NOTE:
1. Ni kweli 100% kuwa Jane alifanya hila na njama za kubadili umiliki wa mali ya mumewe kwa nia ovu ya kumdhulumu. Na hata Jane alijua si halali ndio maana alikuwa na hofu kuwa mwanaume asingechukulia poa huo upumbavu.
2. Ni kweli 100% kuwa familia ya Jane ilikuwa ina taarifa zote za nia ovu ya Jane ya kutaka kumdhulumu mwanaume mali zake ikiwemo nyumba lakini hawakumkemea wala kumshauri aache hiyo tamaa.
3. Ni kweli 100% kuwa Jane alishajipanga si tu kuachana na mumewe bali pia kumdhulumu mwanaume mali zake ikiwemo nyumba ndio maana alishawataarifu ndugu zake mapema kuwa hata akifa asiende kuzikwa nyumbani kwao mumewe.
4. Unawezaje kumtetea Jane kuwa hakupanga kumdhulumu mune wake mali na huenda hata alikuwa katika mipango ya kumuua mumewe ni vile tu amewahiwa. Kwa nini ahakikishe katika hati hiyo hakuna jina la mume wake? Si ni kwa sababu alijua mume wake atapoteza maisha siju za karibuni iwe kwa saratani au kuuawa?
Mwenyekiti mnanipa wakati mgumu sana kuwatetea ninyi wanawake.
Punguzeni tamaa! Tamaa ikichukua mimba huzaa dhambi, nayo dhambi ikiishakukomaa huzaa mauti.
Si Jane tu alikuwa na tamaa bali hata ndugu zake walikuwa na tamaa ndio maana licha ya kuwa na taarifa za Jane kumdhulumu mume wake hawakumzuia wala kumshauri aachane na mpango huo hatari. Matokeo yake wamepokea maiti.
#C&P from well believed sources!
Nimewahi kuona pikipiki iliyoibwa mkuranga ikaja kuuzwa mtwara ina kadi mbili...Aisee Kuna watu wana dunia yakwaoLabda hajawahi kujionea
Watu wanangoja passport miezi miwili ila Kuna wanaopata ndani ya week.
Cheti Cha kuzaliwa ukitaka ndani ya siku tatu unapata ila fuata utaratibu utakipata baada ya mwezi
Labda uhurumiwe tu
Ukimcheki huyo mwanamke unajua kabisa ni tapeli mkubwa
Halafu inaonekana huwa wanafundishwa na wazazi wao kua hivyo. Ni tabia mbaya sana!@Linatimia lile neno lisemwalo hapa Dar ukioa mwanamke wa Kimachame atafanya hila akuue ili arithi mali.
Mengine yakupite.Hii ni baada ya Jane kubadilisha umiliki (hati) ya nyumba na kusoma jina lake na jina la watoto wake kinyume na matakwa ya mumewe Laurent Kweka ambaye kimsingi ndiye mmiliki halali wa nyumba hiyo.
Hii ni nature ya binadamu, hata wanawake ni hivyo hivyo. Hata wanawake huwa hawabadiliki tu from no where kwa wanaume wanaowapenda mpaka wawe provoked.Wanaume sisi ni wapole sana na wakarimu sana kwa wanawake tunao wapenda.