Tetesi: Kweli Tutafika kwa mtindo huu!!

Tetesi: Kweli Tutafika kwa mtindo huu!!

Magimbi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
1,434
Reaction score
1,212
InasemekanaTRA inakusanya zaidi Bilioni 800 kwa mwezi!! Lakini sijui kwa nini hatuna huduma nzuri kwa wananchi. Inasemekana eti sehemu kubwa ya fedha hizi ni kwamatumizi maalum!!! Habari hii ilitoka kwa mwanasiasa na Mbunge wa Chama Tawala kanda ya Ziwa baada ya kuongea na Mkurugenzi wa TRA wakiwa safarini Dodoma. Na mwenyewe huyo mbunge huyo anashangaa ni kwa nini hali ni ngumu katika huduma za jamii katika ukusanyaji mkubwa wa kodi namna hii katika nchi yetu!!

Sijui tufanyeje tuondokane na matatizo yetu..

Source: Huyo Mbunge wa kanda ya ziwa!!
 
Fungwe epuka hasty generalization katika kujadili mambo..ni tetesi na wenye ubongo makini lazima watadadisi. Wenye facts watatuelimisha. Ambae huna kama wewe ebu fanya kazi ujengee wenzio maisha!!
 
InasemekanaTRA inakusanya zaidi Bilioni 800 kwa mwezi!! Lakini sijui kwa nini hatuna huduma nzuri kwa wananchi. Inasemekana eti sehemu kubwa ya fedha hizi ni kwamatumizi maalum!!! Habari hii ilitoka kwa mwanasiasa na Mbunge wa Chama Tawala kanda ya Ziwa baada ya kuongea na Mkurugenzi wa TRA wakiwa safarini Dodoma. Na mwenyewe huyo mbunge huyo anashangaa ni kwa nini hali ni ngumu katika huduma za jamii katika ukusanyaji mkubwa wa kodi namna hii katika nchi yetu!!

Sijui tufanyeje tuondokane na matatizo yetu..

Source: Huyo Mbunge wa kanda ya ziwa!!

Bilioni 800 ukajenge Barabara, ulipe mishahara ya walimu, ulipe madaktari, ulipe polisi, wanajeshi, wabunge,halmashauri, ulipe madeni nje, mashirika kimataifa, utoe michango huko kwenye mashirika ambayo sisi wanachama, utoe mikopo ya wanafunzi, ujunge mashule, vyuo, nk

Lakini una point maana nasikia huko kwneye Halmashauri pesa zikishafika wakurugenzi wanazifanya kama za kwao binafsi wanazitafuna weee!!!!
 
Kwanza hongera kwa kukusanya mara mbili zaidi ya Serikali ya Mkapa.
Pili pesa zinakwenda kwenye miradi mikubwa ya barabara na grsi ambayo miaka michache ijayo itakuwa ni mkombozi wetu
 
umesikia au umeambiwa na au wanasema?

Kwa masikio yangu nimesikia ni kama alikuwa akiwaelezea wadau mafanikio hayo..ila hapo kwenye kazi maalum!1 Japo si nyingi kivile lakini kama zikifanyiwa kazi na kusimamiwa kikamilifu zinatosha saana!! Hasa kuwa na discipline ya matumizi ni muhimu
 
duchi:hapa Mzee Mkapa anaingiaje?hata hivyo mtu mwenye akili timamu hawezi kumlinganisha MKAPA NA KIKWETE
 
Uwiano wa mapato na matumizi haupo.
Tunatumia zaidi sababu ya Ufisadi
 
800 bilioni ni pesa ndogo sana kwa nchi yenye watu 45 million.
kwa wastani kila mwananchi anachangia 18,000 kwa mwezi kama kodi,hii inaonyesha bado tax base yetu tanzania ni ndogo sana,ndio maaana rais anahaa kutafuta misaada kwa wahisani.
 
Bilioni 800 ukajenge Barabara, ulipe mishahara ya walimu, ulipe madaktari, ulipe polisi, wanajeshi, wabunge, halmashauri, ulipe madeni nje, mashirika kimataifa, utoe michango huko kwenye mashirika ambayo sisi wanachama, utoe mikopo ya wanafunzi, ujunge mashule, vyuo, nk

Kama sehemu ya hizo fedha zinatumika kweli kulipa walimu na kujenga shule, basi Shule ya Msingi Machala isingekuwa na mwalimu mmoja anayefundisha kuanzia chekechea hadi darasa la saba na jengo kama hili unless sehemu kubwa ya fedha hizo ni kwa matumizi ya shule maalum.

attachment.php

Kama ni kiasi tajwa kumbe ni kidogo,ila nadhani ni zaidi ya hapo na wanatafuna magamba mafisadi.
 
Bilioni 800 ukajenge Barabara, ulipe mishahara ya walimu, ulipe madaktari, ulipe polisi, wanajeshi, wabunge,halmashauri, ulipe madeni nje, mashirika kimataifa, utoe michango huko kwenye mashirika ambayo sisi wanachama, utoe mikopo ya wanafunzi, ujunge mashule, vyuo, nk

Lakini una point maana nasikia huko kwneye Halmashauri pesa zikishafika wakurugenzi wanazifanya kama za kwao binafsi wanazitafuna weee!!!!
Eti bilioni 800 za kulipa mishahara ya madaktari,walimu....ulikosa mifano ee?
Ngoja nikupe......
Bilioni 800 za kununulia suti dubai,kulipa posho wabunge,kusomesha watoto wa vigogo nje.....
 
Bilioni 800 ukajenge Barabara, ulipe mishahara ya walimu, ulipe madaktari, ulipe polisi, wanajeshi, wabunge,halmashauri, ulipe madeni nje, mashirika kimataifa, utoe michango huko kwenye mashirika ambayo sisi wanachama, utoe mikopo ya wanafunzi, ujunge mashule, vyuo, nk

Lakini una point maana nasikia huko kwneye Halmashauri pesa zikishafika wakurugenzi wanazifanya kama za kwao binafsi wanazitafuna weee!!!!

Umefafanua vizuri!
Sasa kabla sijatoa maoni nilitaka kujua Km chazo kikuu cha mapato Tz ni TRA tu?
 
Back
Top Bottom