Tetesi kuhusu TTCL customer care

Tetesi kuhusu TTCL customer care

star40

Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
11
Reaction score
1
Jamani kuna mwenye kupigiwa cm TTCL zile kazi za customer care kwenda kwenye interview?
 
Wewe umepigiwa? Usitake watu wataharuki bure hapa, ungeuliza hivi.
-Mimi nimepigiwa interview ya customer care TTCL vipi kuna mwingine amepigiwa
-Jamani mbona TTCL wamekuwa kimya,hivi kuna mtu alishapigiwa ama alishafanya interview ya zile/ile post ya customer care?
 
haya asante kwa kunirekebisha ndugu Mimi bado cjapigiwa Cm nilikuwa nauliza kama kuna mtu amepigiwa cm kwenda kufanya interview zile post za customer care ttcl?
 
haya asante kwa kunirekebisha ndugu Mimi bado cjapigiwa Cm nilikuwa nauliza kama kuna mtu amepigiwa cm kwenda kufanya interview zile post za customer care ttcl?

eeee ndo usubiri, kwani huwa hamsomi matangazo vizuri?? huwa wanasema kama hujasikia call for interview then count, you are not qualified enough to be considered for interview...au endelea kusubiri, sio mnatusumbua kuuliza maswali yenye majibu.... let say wengine wameitwa utafanyaje sasa? utalazimisha au....jaribuni kuwa wavumilivu ndo kazi zilivyo usiombe kazi kwa kutegemea utaitwa baada ya muda fulani... no, otherwise you are looking for pressure!!!
 
pole lzaack kwa kuona nimekusumbua ila wapo watakao ona cjawasumbua watakuja nijibu kwangu mi inaumuhimu kujua ndio maana nimeuliza.
 
Back
Top Bottom