nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Ok. Si rahisi ku conclude kuwa huyo mama alikuwa anang'ang'ania ndoa kwa sababu ya mali. But how can you conclude kuwa alikuwa hang'ang'anii ndoa kwa sababu ya mali? Siwezi kutoa judgement in either way, lakini mazingira ya hii event yanaweza kumfanya mtu afikie a certain conclusion. Kama ungeingia mtaani na kufanya survey unafikiri ni asilimia ngapi ya wanawake walioolewa wangesema kuwa wangefanya kama alivyofanya huyo mama?
Na wamama zetu walivumilia nini? mbona ilikuwa dhiki tu? nafikiri hii ni hulka tu na mambo ya ku believe in family ambayo yametuingia na sisi, na ukisema ukichitiwa uondoke utaondoka kwa wangapi? maana hata huko utakapoenda yanaweza kuwa mabaya zaidi ya unayoyakimbia, kwa hiyo utakuwa wa kutoka hapa kwenda pale. All in all uamuzi unabaki kuwa wa mhusika mwenyewe. Meanwhile let me stick in his ..ss
Yah hapa huwezi lalamika kwa mtu, na yule dada Mungu amtie nguvu RIP MajidTuko pamoja kwenye hilo, ila kumshauri mwanamke kuvumilia kwenye ndoana (especially uzinzi) hapo hapana. As much as tunataka familia zenye baba na mama, pia hatupendi watoto wanaolelewa bila wazazi kutokana na maradhi yanayoletwa kwa kujihusisha na uzinifu.
Tuambizane ukweli jambo unauma au utapingwa na wengu, ila maamuzi yabaki kwa anayehusika ili siku ya siku asilaumu mtu.
Kila mtu ana maamuzi tofauti kutokana na personality yake. Na ukiambiwa ndoa zina ups and downs ndo ujua ups nyingine ni zaa juu zaidi na downs nyingine ni za chini sana. Kama Majd angeendelea kuwa hai ungeweza shangaa siku za usoni ana come to his senses ana rudi kuwa mume mwema, maana kama alivyosema mdau Majid hakuwa hivyo zamani. Misamaha isingekuwepo hamna hata ndoa moja ingebaki duniani nini Tanzania. Clinton ali cheat lakini mpaka leo yuko na mkewe na naweza sema uvumilivu wa mkewe umefanya familia yao iwe na mafanikia. Maana kama ndani hamna maelewano hata carrier haiwezi ku prosper. Na binti yao kaolewa sasa na yeye nina imani atakuwa good wife material kwani ameshajifunza ndoa yahitaji uvumilivu.
Kuna familia ukisikia mumeo ana kimada tu ukiwambia nduguzo wanakwambia unasubili nini. Kama wanaume wamejaa mitaani chapa lapa. Lakini kama wanaume ni wale wale dont you think kuwa uamuzi wa divorce ni wa jazba zaidi?
Tuko pamoja kwenye hilo, ila kumshauri mwanamke kuvumilia kwenye ndoana (especially uzinzi) hapo hapana. As much as tunataka familia zenye baba na mama, pia hatupendi watoto wanaolelewa bila wazazi kutokana na maradhi yanayoletwa kwa kujihusisha na uzinifu.
Tuambizane ukweli jambo unauma au utapingwa na wengu, ila maamuzi yabaki kwa anayehusika ili siku ya siku asilaumu mtu.
Na wamama zetu walivumilia nini? mbona ilikuwa dhiki tu? nafikiri hii ni hulka tu na mambo ya ku believe in family ambayo yametuingia na sisi, na ukisema ukichitiwa uondoke utaondoka kwa wangapi? maana hata huko utakapoenda yanaweza kuwa mabaya zaidi ya unayoyakimbia, kwa hiyo utakuwa wa kutoka hapa kwenda pale. All in all uamuzi unabaki kuwa wa mhusika mwenyewe. Meanwhile let me stick in his ..ss
Nyumba Kubwa nafikiri facts za ile case ya Clinton na za huyu mama ni tofauti kidogo. Tena response ya Mrs Clinton ilikuwa tofauti na aliyofanya huyu mama. Mrs Clinton alimfumania mumewe? Hata kama alimfumania imagine naye Mrs Clinton angewaita CNN waonyeshe live akimfumania Mr Clinton, bado wangekuwa pamoja? Pia iko wazi kabisa kuwa uamuzi aliofikia Mrs Clinton ulikuwa sio tuu kudumisha ndoa yake. Kulikuwa pia na sababu nyingine tena very crucial ambazo sidhani zinarelate in anyway na sababu tunazospeculate kwenye issue ya huyu mama.
So where is this called women emancipation? Kama mwanaume anaweza kumfumania mkewe na kumdivorce hapo hapo, wanawake hawawezi? Bado equality haipo?
So where is this called women emancipation? Kama mwanaume anaweza kumfumania mkewe na kumdivorce hapo hapo, wanawake hawawezi? Bado equality haipo?
Wapo wanaoweza fanya hivyo, wanawake wote hatuko sawa kila mtu na mtazamo wake, na wanaosema wakiwafumania waume zao wanawaacha hapohapo ndio haohao huwa unashangaa wanang'ang'ania kama ruba, halafu mimi ninayeona siwezi muacha ,nikaondoka bila watu kutambua nimeondokaje, ila utandawazi sasa hivi unafanya kila mtu atambue haki yake.So where is this called women emancipation? Kama mwanaume anaweza kumfumania mkewe na kumdivorce hapo hapo, wanawake hawawezi? Bado equality haipo?
Lol sioni kitufe cha thanx wala like ila imekaa vizuri hii, na kutompa talaka mume sio kwamba unamtegemea saana kimaisha ni ule tu uvumilivu wa mwanamke mwenyezi Mungu aliotujaliaUsawa haumaanishi kuwa hatuna difference ki sex, its is only gender equality. Mwanamke ataendelea kuwa mwanamke na mwanamme alikadhalika. Kutokana na utofauti wetu kibiologia ndio maana wanaume wanatoa divorce on the sport kwani hawajaumbwa na roho ya uvumilivu kama sie.
Na wanawake kuto toa divorce on the sport haina maana kuwa ni kwa sababu ya kuwa less empowered. No matter how powerful a woman is still needs a partner. Na ndio maana hata wanawake mawaziri wame zao ni cheaters na hao wanawake hawatoi talaka on the sport japo wana uwezo wa kuishi bila kutegemea mwanaume materially.
Ingawa hakuwaita yeye CNN ila kiasi fulani walihudhuria tukio kiaina hili tu lingemfanya aamue vinginevyo, kuna Victoria Beckham kwa kesi yake angeweza ku walk away na pesa kibao akaishi maisha ya amani ila aliamua kuvumilia na uvumilivu wake umemfanya aendelee kuishi na mwanaume anaempenda na akampa chance ya kubadilika. Kwa uamuzi wake huo ameweza kumshauri hata mke wa Roony kama sikosei jina nae kanywea ndoa inaendelea,nahisi second chance huwa inamfanya mtu awe much better and stronger than ever beforeNyumba Kubwa nafikiri facts za ile case ya Clinton na za huyu mama ni tofauti kidogo. Tena response ya Mrs Clinton ilikuwa tofauti na aliyofanya huyu mama. Mrs Clinton alimfumania mumewe? Hata kama alimfumania imagine naye Mrs Clinton angewaita CNN waonyeshe live akimfumania Mr Clinton, bado wangekuwa pamoja? Pia iko wazi kabisa kuwa uamuzi aliofikia Mrs Clinton ulikuwa sio tuu kudumisha ndoa yake. Kulikuwa pia na sababu nyingine tena very crucial ambazo sidhani zinarelate in anyway na sababu tunazospeculate kwenye issue ya huyu mama.
Equality tunaitaka ila hatuitaki!Kwenye mambo kama haya utaishia kuambiwa wanawake tumeumbwa na roho ya huruma..wanawake tumeumbwa kua wavumilivu.Ukiangalia upande mwingine kama mama ndo angekua amefumaniwa sidhani kama angepewa nafasi ya kusema nywe...
Usawa haumaanishi kuwa hatuna difference ki sex, its is only gender equality. Mwanamke ataendelea kuwa mwanamke na mwanamme alikadhalika. Kutokana na utofauti wetu kibiologia ndio maana wanaume wanatoa divorce on the sport kwani hawajaumbwa na roho ya uvumilivu kama sie.
Na wanawake kuto toa divorce on the sport haina maana kuwa ni kwa sababu ya kuwa less empowered. No matter how powerful a woman is still needs a partner. Na ndio maana hata wanawake mawaziri wame zao ni cheaters na hao wanawake hawatoi talaka on the sport japo wana uwezo wa kuishi bila kutegemea mwanaume materially.
Exactly Lizzy. Ndicho Mama Mkubwa anachosema hapo chini.
So, how can we reconcile this? Tuachane na hizi equality movements? Are fighting a loosing battle?
Ingawa hakuwaita yeye CNN ila kiasi fulani walihudhuria tukio kiaina hili tu lingemfanya aamue vinginevyo, kuna Victoria Beckham kwa kesi yake angeweza ku walk away na pesa kibao akaishi maisha ya amani ila aliamua kuvumilia na uvumilivu wake umemfanya aendelee kuishi na mwanaume anaempenda na akampa chance ya kubadilika. Kwa uamuzi wake huo ameweza kumshauri hata mke wa Roony kama sikosei jina nae kanywea ndoa inaendelea,nahisi second chance huwa inamfanya mtu awe much better and stronger than ever before
Hizo ndio zile exceptions sio wote wanawezaPamoja na kuwa watu wanataka kudumisha ndoa, pia zipo sababu nyingine pia. Umesahau ku-mention na mke wa John Terry hapo. Lakini kwa nini mke wa Tiger Woods ali walk away? Alikuwa sio mvumilivu? Au Tiger Woods asingebadilika akama angempa second chance?
Cheating is cheating. Alichofanya Clinton na Majid ni sawa sawa. Wote wanatembea nje ya ndoa. What differs ni reaction ya wake zao. Kutembe nje ni kutembea nje haijalishai umalala na kimada ndani au guest au kanisani wote ni cheaters tu