TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,564
tunatarajia hivyoHabari zisizo rasmi zinadai kwamba hatimaye UKAWA wameafikiana kumsimamisha Dr Wilbrod Peter Slaa kuwa mgombea wao wa kiti cha urais kwaajili ya uchaguzi mkuu ujao mwezi October.
Source: Millard Ayo blog
Katiba gani imetumika kumchagua?
Katiba gani imetumika kumchagua?
Katiba gani imetumika kumchagua?
Habari zisizo rasmi zinadai kwamba hatimaye UKAWA wameafikiana kumsimamisha Dr Wilbrod Peter Slaa kuwa mgombea wao wa kiti cha urais kwaajili ya uchaguzi mkuu ujao mwezi October.
Source: Millard Ayo blog