Tetesi: Chief godlove kuidhamini Simba msimu ujao

Tetesi: Chief godlove kuidhamini Simba msimu ujao

Kikubwa Simba iwe imara ... at least ilete ushindani Kwa yanga[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kama timu inatimiza malengo kwa kuleta ushindani kwa timu nyimngine ya ligi yake ya nyumbani, basi iendelee tu. Lakini Simba inatakiwa ilete upinzani kwa timu za ligi nyingine, kwani haina maana kutoa upinzani kwa ligi yako kila mwaka halafu kwa timu za ligi nyingine unatolewa raundi ya kwanza. Kwa hiyo Yanga wabebe tu ubingwa bila upinzani, ila mwisho iwe humu humu 😀 😀 😀
 
Anayebeba makombe ndo bingwa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ilo linawezekana kama waliweza kuingia kwenye mtumbwi wa ki bwengo(Jayruty) haishindikani kwa GODLOVE.
 
Unaambiwa kuna mgogoro mzito mno huko ,inawezekana msimu ujao GODLOVE akaja kuwa mdhamini wa timu viongozi wanamuuliza mwekezji pesa ya CAF iko wapi haijulikani ilipo amesema hataki maswali ya kipuuzi yeye sio mtunza hazina wamuulize CEO ,cha ajabu CEO anasema hajui chochote [emoji6][emoji6]

Msimu ujao ni kilio kikubwa..... yajayo yanatisha pale u-koloni View attachment 3390802

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Acha moto uwake,uwawakie wote pamoja semaji na timu yake aliwahadaeni sana na lilekapu lenu za magoli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom