Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,856
- 32,659
- Thread starter
- #21
Au ponjoro nae ni pandikizi la GSMMakolo wakiendelea kumtegemea ponjoro itakula kwao kila mwaka
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Au ponjoro nae ni pandikizi la GSMMakolo wakiendelea kumtegemea ponjoro itakula kwao kila mwaka
Hivi huyu godlove anafanya ishu ganiUnaambiwa kuna mgogoro mzito mno huko ,inawezekana msimu ujao GODLOVE akaja kuwa mdhamini wa timu viongozi wanamuuliza mwekezji pesa ya CAF iko wapi haijulikani ilipo amesema hataki maswali ya kipuuzi yeye sio mtunza hazina wamuulize CEO ,cha ajabu CEO anasema hajui chochote
Msimu ujao ni kilio kikubwa..... yajayo yanatisha pale u-koloni View attachment 3390802
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hawaeleweki....now lawama zote kwa mangunguNa bado watalaumu yanga wakati mchawi wanae ndani
GSM qnadhamini ni wao wenyewe Sasa wawe jeuri au wakubali gboost
It's okay..... unless it gives them comfortAkili za wabongo zinawaza Simba na Yanga muda wote![]()
Bunge litakuwa na vituko vingi kuliko siku zote.
Kikubwa Simba iwe imara ... at least ilete ushindani Kwa yangaNadhani elimu ya biashara ya mpira inawapiga chenga watu wengi, hasa wa utopolo (labda kasoro wale wawili).
Kuna ajabu gani Godlove kuidhamini Simba akaungana na wadhamini wengine waliopo? Kwa sasa Simba ina wadhamini wafuatao wakifanya udhamini kwa wakati mmoja:
1. M-Bet
2. Azam TV
3. CRDB
4. NMB
5. Mo Cola
6. Mo Assurance
7. Sandaland
8. Azania Bank
9. Pilsner Lager
10. ATCL
11. Africarriers
Inayoongezeka
1. Diadora
2. Jayrutty
Sasa watu wajinga wajinga kama Labani og wanadhani kudhaminiwa klabu kubwa yenye mafanikio katika michuano ya Afrika ni kitu cha ajabu!
View attachment 3390951


MadnessMleta mada alichanganyikiwa tangu ile siku aliyopewa mifupa mitupu kwenye supu day!
Tuwaombee ndugu zetu simba warudi kwenye uboraBasi wajomba cheaper
Hata Mimi nmeshtuka sanaUnadhani kudhamini timu ni kama matak..o kila mtu anayo(anaweza)?
Anapesa sana yuleAna pesa za kudhamini chata kama simba?
Hapo ndipo Mtibwa watakuwa na ujasiri wa kusema "Simba naye ni my wetu *



Kumbe
Tuwape nafasi vijana mkuuBunge litakuwa na vituko vingi kuliko siku zote.

Tatizo ni njaaa hakuna kingine brother.Makolo wakiendelea kumtegemea ponjoro itakula kwao kila mwaka
back2back×10 wananchiUnaambiwa kuna mgogoro mzito mno huko ,inawezekana msimu ujao GODLOVE akaja kuwa mdhamini wa timu viongozi wanamuuliza mwekezji pesa ya CAF iko wapi haijulikani ilipo amesema hataki maswali ya kipuuzi yeye sio mtunza hazina wamuulize CEO ,cha ajabu CEO anasema hajui chochote
Msimu ujao ni kilio kikubwa..... yajayo yanatisha pale u-koloni View attachment 3390802
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app