G.25
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 1,788
- 1,967
Mbona wewooo!! Hasaraayamamayakekamaanaye!!Mbona wewoooo, ina maana hata mwaka ujao chura achukue kumbe kwel
Mbona wewooo!! Hasaraayamamayakekamaanaye!!Mbona wewoooo, ina maana hata mwaka ujao chura achukue kumbe kwel
Kijana anayehamasisha maendeleo feki bila kuonyesha analipa Kodi tsh ngapi na KWA shughuli zipi ni kuhamasisha utapeli. UBUNGE umekuwa chanzo cha mapato.
Anasema akionyesha source of income yake....mtamloga[emoji23][emoji23]Kijana anayehamasisha maendeleo feki bila kuonyesha analipa Kodi tsh ngapi na KWA shughuli zipi ni kuhamasisha utapeli. UBUNGE umekuwa chanzo cha mapato.
Isanga Kuna mental institution Gani?Godlove huyuhuyu mgonjwa wa akili aliyekimbia isanga mental institution
[emoji23][emoji23]Kuendesha timu ni suala zito mno wakuu. Hao wanaodhamini waheshimike mno
Kwani mirembe officially inajulikanaje
Mtoto mdogo mwenye pesa mingiUyo godlove ndo nani
Kama timu inatimiza malengo kwa kuleta ushindani kwa timu nyimngine ya ligi yake ya nyumbani, basi iendelee tu. Lakini Simba inatakiwa ilete upinzani kwa timu za ligi nyingine, kwani haina maana kutoa upinzani kwa ligi yako kila mwaka halafu kwa timu za ligi nyingine unatolewa raundi ya kwanza. Kwa hiyo Yanga wabebe tu ubingwa bila upinzani, ila mwisho iwe humu humu 😀 😀 😀Kikubwa Simba iwe imara ... at least ilete ushindani Kwa yanga[emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Anayebeba makombe ndo bingwaKama timu inatimiza malengo kwa kuleta ushindani kwa timu nyimngine ya ligi yake ya nyumbani, basi iendelee tu. Lakini Simba inatakiwa ilete upinzani kwa timu za ligi nyingine, kwani haina maana kutoa upinzani kwa ligi yako kila mwaka halafu kwa timu za ligi nyingine unatolewa raundi ya kwanza. Kwa hiyo Yanga wabebe tu ubingwa bila upinzani, ila mwisho iwe humu humu 😀 😀 😀
Makombe ya nchi hii yameshabebwa sana, hadi Mtibwa imebeba 😀
Acha moto uwake,uwawakie wote pamoja semaji na timu yake aliwahadaeni sana na lilekapu lenu za magoli.Unaambiwa kuna mgogoro mzito mno huko ,inawezekana msimu ujao GODLOVE akaja kuwa mdhamini wa timu viongozi wanamuuliza mwekezji pesa ya CAF iko wapi haijulikani ilipo amesema hataki maswali ya kipuuzi yeye sio mtunza hazina wamuulize CEO ,cha ajabu CEO anasema hajui chochote [emoji6][emoji6]
Msimu ujao ni kilio kikubwa..... yajayo yanatisha pale u-koloni View attachment 3390802
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]Ilo linawezekana kama waliweza kuingia kwenye mtumbwi wa ki bwengo(Jayruty) haishindikani kwa GODLOVE.
Yanga ndo kabeba mara nyingiMakombe ya nchi hii yameshabebwa sana, hadi Mtibwa imebeba 😀
Adui muombee njaa....ila asifeAcha moto uwake,uwawakie wote pamoja semaji na timu yake aliwahadaeni sana na lilekapu lenu za magoli.
Sasa ni muda wa kutafuta ambacho hakikuwahi kupatikana badala ya kurudia kile kile