Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,856
- 32,659
Unaambiwa kuna mgogoro mzito mno huko ,inawezekana msimu ujao GODLOVE akaja kuwa mdhamini wa timu viongozi wanamuuliza mwekezji pesa ya CAF iko wapi haijulikani ilipo amesema hataki maswali ya kipuuzi yeye sio mtunza hazina wamuulize CEO ,cha ajabu CEO anasema hajui chochote 

Msimu ujao ni kilio kikubwa..... yajayo yanatisha pale u-koloni
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app

Msimu ujao ni kilio kikubwa..... yajayo yanatisha pale u-koloni
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app