Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,290
- 13,860
Dakika chache zilizopita limetokea tetemeko maeneo ya Mbala mpakani na Tanzania. Nina imani waishio Tunduma na Sumbawanga wamelisikia. Magnitude 4.2
Huko Zambia halijawafikia?Dakika chache zilizopita limetokea tetemeko maeneo ya Mbala mpakani na Tanzania. Nina imani waishio Tunduma na Sumbawanga wamelisikia. Magnitude 4.2