KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,448
- 5,448
Tetemeko la ardhi limetokea leo saa 2:50 asubuhi maeneo la Ziwa Rukwa. Mliopo maeneo hayo mtujuze.
Tuwajulishe ulaya na marekani magholofa yameporomoka, chanjo tulizoleta zimepasuka na tupige picha wamachinga wakihama kuwa nyumba zao zimeungua kutokana na gesi.Tetemeko la ardhi limetokea leo saa 2:50 asubuhi maeneo la Ziwa Rukwa. Mliopo maeneo hayo mtujuze. View attachment 1974902
Mimi nipo mbali Sana na eneo hilo. Nawashukuru wote ambao wanaishi maeneo jirani na hapo kama waliweza kulisikia na kuleta taarifa kuhusu tetemeko Hilo.Sasa wakujuze nini?