Tetemeko maeneo ya Mwanza

Kwa tetemeko lililopita muda huu aiseee linatisha, nyumba na kitanda kimetikisika na nikaikumbuka Sala ya toba. Japo halikua kubwa ila linatisha
Ni kweli hata mi nimelisikia maana nilikuwa macho kodoo!
Hili ni kubwa sema limechukua ka sekunde chache...
Maana mi hapa hadi kitanda kilikuwa kimegonga kwenye ukuta kwa kishindo ka mtu alibamiza mlango!
 
Lilikua la kawaida but linajenga hofu sana kama limepita uko macho
ha ha! mapigo ya moyo yaliongezeka kiasi tu,kidogo nilianzishe kutoka nje nilihofia lingechanganya zaidi ya hapo mambo yangekuwa tafrani usalama ungekuwa mchache.. huenda likawa limepita na mikoa mengine ila kwa mwenendo huu nahofia lift valley maana yamefululiza tokea 2016!
 
Na uwingi wa mawe ya mwanza ndio inaleta hatari zaidi hasa kwa zile nyumba zilizojengwa juu ya milima..btn mjikaze wanaume wa mikoani hawalalamiki hovyo wakuu
 
Ni kweli hata mi nimelisikia maana nilikuwa macho kodoo!
Hili ni kubwa sema limechukua ka sekunde chache...
Maana mi hapa hadi kitanda kilikuwa kimegonga kwenye ukuta kwa kishindo ka mtu alibamiza mlango!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nyumba ilivyotikisika nikajua leo inadondoka ila sema lilikua la muda mfupi sana
 
Yani yamekua mengi maana kila mwaka sasa yanapita
 
Na uwingi wa mawe ya mwanza ndio inaleta hatari zaidi hasa kwa zile nyumba zilizojengwa juu ya milima..btn mjikaze wanaume wa mikoani hawalalamiki hovyo wakuu
Kwenye suala kama la tetemeko hakuna cha wa dar au wa mikoani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…