Ni kweli mkuu,upepo ulikua mkali sana ndio uliopelekea nyumba kuezuliwa,ila kwa nyumba zilizoangusha kuta na kupata mipasuko bila shaka na tetemeko ndio chanzo
Kuna baadhi ya nyumba zimepata madhara ikiwemo nyumba kuezuliwa mapaa,nyingine kubomoka sehemu na nyingine kupata crake!uzuri hakuna taarifa juu ya madhara ya moja kwa moja kama majeruhi kwa wanadamu!