Tetemeko la ardhi Morogoro

Tetemeko la ardhi Morogoro

Farmer82

Senior Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
183
Reaction score
39
Leo majira ya saa tisa na dakika thelathini na nane usiku (03:38) kumetokea tetemeko la ardhi katika baadhi ya maeneo ya mkoa wa Morogoro,yakiwemo maeneo ya Bigwa,Kolla B,Misongeni Lilidumu kwa sekunde chache sana,ila lilitikisa kweli kweli!mpaka sasa hakuna madhara yaliyoripotiwa kusababishwa na tetemeko hilo.

Tunaomba taarifa kamili kutoka kwa vyonbo husika!

Kama kuna mwenye taarifa zaidi, juu ya tetemeko katika maeneo mengine, atujuze.
 
Leo majira ya saa tisa na dakika thelathini na nane usiku (03:38) kumetokea tetemeko la ardhi katika baadhi ya maeneo ya mkoa wa Morogoro,yakiwemo maeneo ya Bigwa,Kolla B,Misongeni Lilidumu kwa sekunde chache sana,ila lilitikisa kweli kweli!mpaka sasa hakuna madhara yaliyoripotiwa kusababishwa na tetemeko hilo.
Tunaomba taarifa kamili kutoka kwa vyonbo husika!

kama kuna mwenye taarifa zaidi, juu ya tetemeko katika maeneo mengine, atujuze
Ni kweli mkuu. Tetemeko lilikuwa kubwa, maeneo ya SUA. Vitanda vilicheza ila tunashukuru hakuna ripoti za maafa hadi sasa
 
Nikweli mkuu , mm nipo 77 ngoma imetikisha ile mbaya..yaani ni hatari tupu.
 
Huo ni ukanda wa tectonic plates na kila miezi hii mpk wa tisa matukio hayo hutokea
 
Ni kweli mkuu. Tetemeko lilikuwa kubwa, maeneo ya SUA. Vitanda vilicheza ila tunashukuru hakuna ripoti za maafa hadi sasa

Kumbe itakua maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro!ni jambo la kushukuru kama hakuna maafa so far
 
sisi Dodoma tusha zoea limepiga.likarud likapga tena yaan kawaida huku nlko bonden najua na baadae litapitatena
 
Tufanye jaribio dogo kujua kasi yake, next time kila memba atakaye sikia likipita a-note muda then aje na taarifa ya kuwa yupo eneo gani na alilisikia muda gani

Hii itatusaidia kitambua kwa siku hiyo lilitokea upande upi na kuelekea upande upi na kwa kasi gani

Kwa mfano leo hapa maeneo ya Forest lilipita at 0321 hrs mleta mada alilisikia at 0338 hrs akiwa Bigwa, kwa hiyo tunajifunza kuwa tetemeko lilitokea Kusini Magharibi kuelekea Kaskazini Mashariki ila kasi sijui as umbali toka Forest to Bigwa sijaufahamu
 
Kuna baadhi ya nyumba zimepata madhara ikiwemo nyumba kuezuliwa mapaa,nyingine kubomoka sehemu na nyingine kupata crake!uzuri hakuna taarifa juu ya madhara ya moja kwa moja kama majeruhi kwa wanadamu!
 
Nadhani kuezuliwa mapaa ya nyumba kumetokana na upepo mkali uliovuma usiku kucha kuamkia leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom